Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habari za muda huu natumai mko poa na weekend ilienda vizuri na kwa wale ambao weekend imeenda ndivyo sivyo tuendelee kupambana na kuzidi kumwomba Mungu katika changamoto tunazopitia...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Wadau mlio na experience ya kutumia simu toka katika izi chapa 2 ni ipi Kali kuliko mwenzie
5 Reactions
41 Replies
8K Views
Habari wakuu, Twende moja kwa moja kwenye mada, maana muda ni mchache na mambo ni mengi sana. As Tanzania tumekuwa na tabia ya kuamini sana kwenye miujiza kuliko uhalisia wa mambo mbalimbali...
2 Reactions
1 Replies
284 Views
Habari ndugu, ninaomba msaada wa jambo hili,nime-renew namba yangu ya zantel ktk laini ya tigo kama invyofahamika makampuni haya ni mamoja ,tatizo linakuja kwenye data ni kwamba haisomi kabisa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nchini marekani imetoka repoti kupitia shirika la utawala wa shirikisho la Anga (federal Aviation Administration), wanasema kuanzia miaka ijayo kutakua na hatari ya watu kupoteza maisha au...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Kwa wale wote mnaotumia bidhaa za oraimo nowdays wamekuja na freepods lite zinauzwa around 28,000tsh Kwa maduka ya oraimo ila nje ya hapo 40k wanauza Hivi ni kweli sound nzuri na base walau mtu...
4 Reactions
135 Replies
7K Views
Siku ya ijumaa mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania iliweza kutoa tamko juu ya matumizi ya VPn nchini ni kosa la jinai hivyo unaweza kufungwa au kutoa faini ya milioni 5 au vyote kwa pamoja...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Dunia na maajabu yake [emoji44] Nchini India watu wengi wameathilika na program ambazo zinatoa mikopo ya pesa kwa kuweza kudhalilishwa kutokana na mikopo waliokopa. Takribani inafikia wahindi...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Kampuni ya roborock inayounda roboti mbalimbali za Teknolojia kwa shughuli za kibinadamu, hatimaye imeleta toleo jipya la Roboti aina ya Q5 pro na Q8 max yenye nguvu na Teknolojia kubwa kuliko...
0 Reactions
5 Replies
552 Views
Kuna group Moja la Whatapps nipo Kuna jamaa kutuma namba akisema anaprint EFD receipt online au anakuuzia software then una print mwenyewe kutumia cm Yako! Na zinasoma TRA kama zilizo printed na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu yangu inachemka Sana na wakati mwingine inakuwa ipo on ila kioo ni giza hata mtu akinipigia sioni,mpaka niizime na kiwasha tena.Wataalam tatizo ni nini na nini cha kufanya.simu ni motorola i...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Dunia ya sasa imejaa technological advancements nyingi ambazo zimeathiri kila eneo la maisha yetu, kutoka kutuma na kupokea pesa Dirisha la mhasibu hadi kufanya hivyo mtandaoni tena bila...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
MICROPLASTIC INVASION IS A SERIOUS CONCERN IN HUMAN HEALTH: Researchers find microplastics in human heart tissue 12 October 2023 Microplastic pollution is a growing issue globally because of...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wataalamu.....kwa wanaotumia macbook naomba kufahamu performance yake ikoje; •Macbook M1 vs Macbook Intel •Macbook M1 Pro vs Macbook M1 Air •Macbook M1/M2 vs Dell XPS 13/15 Asante;
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kampuni ya meta inayomiliki mtandao wa Threads wanakuletea feature mpya mbili Kwenye huo mtandao. Watumiaji wa threads mnaletewa feature ya kuweza kuediti post ambayo umeshaituma kama ilivyo...
0 Reactions
1 Replies
449 Views
1.kutafakari juu ya mambo unayopenda kufanya katika wakati wako wa ziada. 2.Jifunze juu ya mambo mbalimbali. Kusoma na utafiti vinaweza kukusaidia kugundua masomo unayopenda na kuwa na kipaji...
1 Reactions
0 Replies
797 Views
Sikuhizi waweza kununua hata simu ya laki na nusu ila ina kamera nzur inaeleweka, ukipiga picha inaridhisha, mfano wa simu bei chee kama sony xperia xz1 dukani ni shilingi 175,000 kamera ni nzuri...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndege iliyotengenezwa Tanzania Airplanes Africa Limited (AAL), a Morogoro-based aircraft manufacturer, has unveiled the first aircraft assembled in Tanzania. The aircraft, Skyleader 600, was...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau kwema, Recently nine download pc games za kutosha katika laptop yangu. Files ziko zipped katika .rar nimetumia winzip ku unzip ila swala la kusikitisha zile files kumbe ziko encrypted...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jamvi, Ngoja Niende moja kwa moja Naomba msaada Nimepambania Jambo Langu kwa muda Wa mwaka na nusu sasa Leo Asubuhi Naamka Nakuta Ujumbe Tena Umetumwa kwa Namba Ya Mtu wa Tanzania...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom