App ya Google kamera ambayo ilikua inatumika kwa Ajili ya vifaa vya google pixel Sasa rasmi vimebadilishwa jina na kuitwa Pixel camera.
Ukingia play store ukitaka kupata app ya kamera Kali kwa...
Habari
Naitaji Full Stack Javascript Developer Or ( Front end na back end mkafanya team )
Pamoja Na Mob Developer ( Flutter or React Nqtive Dev )
Call: 0678650509
NB: Lazima muwe based on...
Ndugu zangu naomba kujua mengi kuhusu hii simu.
1. Ubora wake
2. Upatikanaji wake
3 bei yake.
4. Wapi niipate
NB: mimi ni muumini wa simu zenye vioo vikubwa.
Wapendwa ndg zangu habari!
Jamani mmi naomba kama kuna njia ingine mbadala nisaidieni, Nina account ya fb niliokuwa natumia wakati fulan, ilikuwa kila nikitaka kuingia lazima niingie kwa...
Baada ya watumiaji wengi kupata toleo jipya la android Version 14 Operating system yake, Kuna baadhi ya watu ambao wanatumia simu za Google pixel 6 wamekumbana na hii changamoto.
Ime ripotiwa...
Wapendwa habari za muda huu,
Simu yangu ilipata changamoto nika restore sasa baadhi ya vitu vimefutika. Nilikuwa nimehifadhi baadhi ya doc kupitia account ya samsung ila pasword nilisahau...
Kuna ambaye amewahi itumia au anaitumia?
Je, kama upo unaionaje? Is it as powerful as bootstrap? Maana nilianza nayo nikaona iko poa lakini niliitupa kule baada ya jamaa fulani kuniambia kuwa sio...
Unajua hata wewe unaweza kumiliki [emoji116]
Kampuni ya Infinix imetoa toleo jipya la laptop aina ya Infinix Inbook slim X3 nchini India bei yake ni rafiki kila mtu anaweza kumiliki Je nini...
Ina web ya E-commerce kutoka shopify ila nataka kutengeneza Apps kwa ajili ya wateja wangu kununua bidhaa kupitia Apps.
Wenye uzoefu na mambo haya DM iko wazi tuwasiliane zaidi.
Jana niliangusha simu yangu wakati nipo kwenye bodaboda nilichokifanya baada ya kuangusha niombe simu ya mtu na kuingia kwenye find my mobile na kui secure ambapo niliandika ujumbe mfupi wenye...
Habari Wana-jamii nilikua nashida nahitaji kununua laptop aina ya MacBook m1 air yenye RAM 8 GB na SSD 512 GB kwa ajili ya software development tasks as naingia college course ya CS kwa mdau...
Kampuni ya Google imeleta njia rahisi ya watu kuweza kutumia mfumo wa passkey kuweza ku sign in Kwenye app mbalimbali kwa urahisi kupitia simu au kompyuta.
Rasmi mfumo wa passkey unapatikana...
Hello wanajamii forum
Computer yangu aina ya Lenovo IdeaPad 110 imepatq changamoto hivi....
Ukiiwasha inawaka lakini ndan ya sekinde 5 inazima yenyewe na tatizo hili limeanza Jana tuu ila week...
Moja Kati ya mambo yanayowasumbua sana watu ni kuweza kupakua video pamoja na audio kutoka kwenye YouTube na kuweka kwenye simu?
Teknolojia Tamu bhana[emoji38] unajua akuna kusumbuana Yani Ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.