Kwa muda Sasa I've been trying ku log in lakini kila nikiweka namba ya simu inaload tu nlikuwa nadownload then nagive up nafuta ila leo nikawasha VPN...boom....Nape na TCRA wanahusika
Huduma ya mtandao ya Starlink imeanza kupatikana nchini kenya kwa taarifa iliyotolewa na Bilionea Elon Musk.
Tanzania Nape alisema Musk hajatimiza vigezo.
Ni kawaida yangu kufanya doria kwenye mifumo ya ndani na nje nikijifua kwenye suala zima la penetration,
Mwezi huu nimekua nikideal na mufumo ya vyuo hasa upande wa matokeo na sekta nyingine ...
Mengi na wengi wameshazungumza sana na kuandika sana kuhusu umuhimu wa huduma ya Paypal kwa nchi yetu.
Ajabu, kila kampuni mpya ya Fintech inakuja almost inafanya kama yule mwenzake hakuna...
Kwa wateja wa hii huduma he mnakumbana na tatizo la transactions kulipia huduma za mtandao .
Mimi kwangu Ina goma kila wakati haiwezi lipo tatizo sijui ni nini? na Voda wamekaa kimya
Nilifuta...
Nina laptop yangu ni core i5 - 7th gen, Ram ni 8 gb - ddr4, storage ni 1 TB - Hdd.
laptop yangu ina vyumba viwili vya ram, chumba kimoja kwa sasa hakifanyi kazi kwahio natumia ram moja tu yenye...
KITUNZA UMEME (POWER BANK)
Wanajamvi habari?
Wakati tunasubiri kuhudhuria mafunzo yetu ya electronics mwezi huu,karibuni katika ubunifu huu mwingine bila shaka waweza kuwa na tija kwa...
Moja ya sababu iliyo nifanya kutojifunza flutter ni matumizi ya Dart.
Mostly tukiwa tunafanya project mpya tunafanya programming languages evaluation hii process inatupa muongozo wa kuchagua...
Apple imetoa simu ya iPhone 14 ambayo sio Pro (iPhone 14 ya kawaida). Mwaka huu iPhone ya kawaida itakuwa na iPhone 14 Plus ambayo ina ukubwa sawa na iPhone 14 Pro Max.
iPhone 14 inafanana na...
Jana nikiwa kwenye mwendokasi nikitokea morocco,nikapokea simu ya client mmoja anamiliki duka la simu na computer hapo posta. Anazo pesa kwelikweli. Simu ilikuwa ya wito wa kazi ya kudesign na...
The South Korean government announced on Wednesday that it plans to invest over 1.2 trillion won ($900 million) in artificial intelligence development in 2024.
The investment is part of the...
''GB WhatsApp'' ni toleo la WhatsApp lililoboreshwa kutoka WhatsApp halisia na kuongezewa vitu vya ziada kama vile Kuficha kitiki pale ujumbe unapofika, kuona ujumbe uliofutwa, kuona status...
Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000.
Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys?
Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa...
Kwa mujibu wa Apple imetangaza kuwa mfumo wa uendeshaji wa iOS 17 utapatikana kwenye simu za iPhone XS na kuendelea kumaanisha kwamba usaidizi umeondolewa kwa iPhone 8, iPhone 8 Plus, na iPhone X...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.