Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS...
Is MacBook Pro retina inch 15.5, ssd 512, core i7, processor 3.1ghz, ram 16gb still better in 2023 environment.
Ushauli wadau wa MacBook ya mwaka 2015. Kwa matumizi ya ofisi itafaa.
Je Maisha ya Battery ya simu yako (Android au Iphone) yanaonekana kupungua kadri unavyozidi kuitumia simu yako?
Hata hivyo hayajatengenezwa kuishi milele ila kuna namna tukufanya tutaweza...
Habari JamiiForums, natumai sote tu wazima. Wengi kwenye stage moja au nyingine washaingiwa na wazo la kuanzisha channel yao binafsi ya Youtube either kama hobbie au namna moja wapo ya kuingiza...
Nime kua kwenye industry ya Tec toka mwaka 2010 nikianzia kwenye blogspot nikilipwa na Adsense, hadi sasa nafanya project full za Mobile na website, kwe frameworks za Flutter na Laravel(zipo...
Hello wakuu,
Nilikua naomba kujua nikiwa na mtaji wa 20M mpaka 50M naweza kuanzisha tech startup?, pia idea gani naweza kuifanya kwa mtaji huo kwenye sector za usafiri (kama bolt au uber vile)...
India ndio nchi ya mwanzo kufanikiwa kutua kwenye ncha ya kusini ya mwezi ambako ndiko kwenye matumaini zaidi ya kuwepo kwa maji yatakayorahisisha kupiga kambi huko kwa ajili ya tafiti zaidi...
Nikitaka kuagiza mizigo mbalimbali katika nchi ya dubai,uturuki na india nitapataje connection au je wana app wanatumia kama china wanavyofanya alibaba na aliexpress
Ninaomba anayejua jinsi ya kufix tatizo hili kwenye PC anisaidie.
Nimejaribu kuupdate graphics.
Nimeinstall window mpya lakini tatizo bado lipo.
kuna muda huwa screen inakuwa sawa.
Kuna muda...
Walengwa hasa ni wale wanaopata pesa za ghafla (zawadi, kuhongwa, betting, michezo, kuotea, boom la chuoni, n.k) na wale wanaojidunduliza.
kununua simu ni hatua ya kwanza tu, bado kuna mambo...
Nina kifurushi cha Tigo kwenye simu. Pia hutumia hicho kwenye kompyuta.
Ajabu siwezi kufungua internet kwa kifurushi cha tigo. Ila youtube na instagram zinafanya kazi vizuri kabisa.
Nikitaka...
Natumai sote ni wazima,na ambao afya imeteteleka Mungu awape wepesi mpone.
Kwa wataalamu na wenye uzoefu ,naombeni msaada wa kubadiri lugha kwenye laptop.
Nina laptop ambayo ilikua inatumika...
Hello guys,
Kama heading ilivyo. Naomba kufahamishwa similarities and differences za hizo machine mbili in case of performance, battery life and other factors.
Thanks in advance
Kindly regards
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.