Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Tafadhali, kwa mwenye typing tutor iliyo bora kama Mavic Becon au nyingine yeyote naomba tuwasiliane. inahitajika haraka sana. thanks.
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Nahitaji hiyo router kama unayo naomba unicheki tufanye biashara
1 Reactions
0 Replies
715 Views
Habarini za asubuhi wataalamu. Kuna simu ndogo nimeipenda (angalia picha chini) ipo AliExpress nataka kuagiza. Naomba kujua ikishafika Tanzania naenda kuipokelea wapi. Kwa wale waliowahi kununua...
2 Reactions
64 Replies
9K Views
Natafuta magemu ya kivita ya kuokoa watu au kwenda sehemu fulani kwenda kupigana kumuokoa mtu fulani Yan game liwe Kama movie za kivita zinavyokua story yake kwa mnaoyafaham magemu ya namna iyo...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwema MKUU.... Kinatafutwa kioo Cha google pixel 6 pro Njoo DM Kwa biashara.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hivi mmegundua smartphone nyingi sikuhizi hazina technology ya hspda au H+? Ukweli ni kuwa wakati mwingine H+ ina kasi kuliko hata hizo 4G za michongo za mitandao kama halotel, na TTCL H+...
2 Reactions
55 Replies
3K Views
Wazee nipeni mbinu za kuongeza YouTube subscribers Nitumie njia gani?
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello, Nina kazi zangu za kisanaa, ziko uploaded on YouTube lakini hazikuwafikia watu wengi. Nahitaji ziwe recommended kwa Mtanzania yeyote anayeingia kwenye App. Nifanye nini ili hizi videos...
2 Reactions
7 Replies
612 Views
Wakuu kwema?? Tumeshuhudia 13 october apple wamereveal iphone12 ambapo kwa taarifa mpaka sasa itavunja record ya iphone11 kwa mauzo na pre orders. Sasa turud kwa topic. Samsung wali lunch s20...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
YouTuber Tukutane Hapa Je, unamiliki YouTube channel au unataka kutengeneza na kupata Ujanja Zaidi mfano kuongea Views na subscribers? Basi pitia hapa. Wadau kama wewe ni mmiliki au mtengenezaji...
9 Reactions
217 Replies
15K Views
Salamu wakuu, Najikongoja kuamka baada ya kupata anguko na ajali pia,nimeregister jina la baishara BRELA (wazawa general supplies limited). Naomba msaada kwa mdau yoyote kunisaidia kutengeneza...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
𝗧𝗲𝘀𝗹𝗮 𝗦𝗮𝘀𝗮 𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗽𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘂 𝗰𝗼𝗻𝘁𝗿𝗼𝗹 𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗹𝗮𝗸𝗼 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 Kampuni ya Tesla imeleta mfumo rahisi wa kuingiliana Kati ya gari pamoja na simu kwa watumiaji wa simu za iphone pekee. [emoji189]...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni ya apple inayofanya vizuri kwenye uuzaji wa simu zao. kuanzia mwaka 2008 ilikua na app 500 kwenye soko la app store mpaka kufikia app zaidi ya milioni mbili sasa. Ukingia kwenye soko la...
1 Reactions
1 Replies
511 Views
Habarini za asubuhi Nilikuwa natumia program ya download master ku-download video kwenye YouTube , Ila naona wamefanya maboresho na imekuja program ambayo siyo rafiki Naomba msaada Kwa ambaye...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Za jioni wakuu, Naomba msaada jinsi naweza nikatumia dish moja(azam) kwa ving'amuzi viwili tofauti. Yaan bedroom TV pia niweze kupata huduma ya azam TV kwa king'amuzi chake separate ila nitumie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana Instagram wamenifungia acc yangu kwa madai nimeenda kinyume na sheria zao Msaada kwa hatakaeweza kunirudishia acc yangu maana ni special for busness
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Aisee, simu yangu inaingiza ma apps ya aina mbalimbali kama vile ma games n.k bila ridhaa yangu (bila kudownload). Mfano Kuna Aapp inaitwa Ayoba kila nikiifuta nikiweka MB tu inarudi tena. Kuna...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu Msaada, Kwa aliyewahi kupitia kadhia hii, alipataje ufumbuzi. Nimekuwa nikiwatumia e-mails, na ujumbe kuwaomba wafungue account yangu, ikifunguliwa haizidi 48 hours inafungwa tena...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu siku kadhaa nilipost kuwa nimeanza kujifunza python. Nashukuru wadau walinipa mwongozo. Kuptia python niliweza kuweza kuelewa rahisi kidogo C++ kuliko awali nilikuwa sielewi kirahisi. Naweza...
2 Reactions
10 Replies
900 Views
KUPERUZI SIMU KWA VITUFE VITATU Tukiachana na wazee and the likes, Nashangaa kuona bado kuna watu wamekomaa kuendelea kutumia vile vitufe vitatu vilivyopo chini ya screen. KUPERUZI SIMU KWA...
4 Reactions
8 Replies
872 Views
Back
Top Bottom