Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nifanya nini ili niwe naweza "Kucopy into" au "Kuedit" content za "/var/www" Folder Kwenye Ubuntu 14.04 ? You need to change user permission to that location and/or own the location using chmod...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau natumia window 8 pamoja na linux, tatizo la laptop yangu nikiunganisha na waya wa aux/ headphone sauti haitoki nje inasikaka kwenye spika za pc tu. nimejaribu external kupitia usb lakini...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
"an error occurred /try again!", Tatizo hili linatokea kila ninapotaka kufungua YouTube katika simu yangu tecno h3 waungwana ni nini tatizo!?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama heading invyojieleza computer ipo kwenye lugha ya kijerumani nahitaji kuibadisha iwe katika lugha ya kingereza.naombeni msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ujanja wa app naomba ushauri juu ya app ya kutumia kusoma ebooks files kwenye simu napata shida naombeni msaada.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I was thinking, Tanzania delivery ya products from one point to another ni kazi sana hata within the same city, na due to this hata online buying and selling Tanzania hakuna which is why hata...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Here, I'm sharing a list of some useful commands for windows command prompt. Few commands may work only on windows XP not on Windows 7/Vista. Nama ya kutumia CMD Kwenye Windows XP tu ndio...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bundle ya Spidi bila kikomo ya wiki imetoka 10GB ikaenda 8GB na sasa nilikiwa nataka kununua nikakuka ni 2GB tu!!! Kwa wiki nzima yaani haileti hata maana 6000 for 2GB bora ununue zile za daily za...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Apple walitoa App ya Find my iPhone kama application ya kujitegemea 2010 na ilikuwa free app. Wakaendelea ku improve na ku-link na iCloud, ambapo 2013 iOS 7 ilipotoka ndio ikawa in-built feature...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Natumai mu wazima wa afya. Tatizo lipo kwenye keyboard ya PC Nikibonyeza H ina type Y, na pia nikibonyeza Y ina type Y na namba zingine pia zina jam. H =Y Y=Y 1=Q Tatizo lipo wap wakubwa ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu laptop yangu ya toshiba inashindwa kurecognize external disk,flash disk nini tatizo?msaada plse
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada ya kuinstall Ubuntu skin pack kwenye laptop yanguaina ya asus, iliyokuwa na OS ya windows 8,na kuruhusu computer I restart, sijaona tena icon za desktop na wala sijaweza kufanya kitu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu nahitaji kujua jinsi gani ya install Ubuntu kwenye PC inayo run windows 8.1
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu za usiku, jaman naomben mwenye ujuzi na utaalam pamoja na software nzur ya kuconnect kinanda pamoja na computer ..msaada jaman
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani mwenyewe msaada NAOMBENI msaada wenu wa khali na Mali maana nimekwama kabisa laptop yangu imegoma kabisa kuwaka nikiweka password Ili ifunguke ndo Ujumbe huo naoupata please msaada wenu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Apple wajisafisha kwa kuvunja rekodi za mauzo Ikiwa ni wiki moja tu tangu Snowden kupitia Mwanasheria wake ailipue kampuni ya Apple kwa kuweka wazi kuwa Snowden hajawahi kutumia simu za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada, wengine nauli zetu ndogo kutokana na ugumu wa maisha hivyo kwa wale wakuu wangu wenye nyota kubwa naombeni msaada jins ya kupata yale mambo yetu ya free ili nipate kudownload...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu shida yangu ni kujua tu jinsi gani ninaeza kutoa sim lock..hasa hizi simu za tigo..Kila siku naona ikifika wakat mtu inabid atoe lock ya network basi anapewa jibu aende k.koo au awaone watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina iPad 3 Wifi + Cellular kila nikiweka Viber inataka upper version of iOS na sitaki ku upgrade. Kuna mtu ana link ambayo naweza ku download .ipa fila ya Viber ?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pliz help... cm yangu haiiingii net cc Njunwa Wa Mavoco
1 Reactions
0 Replies
988 Views
Back
Top Bottom