Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wale wanaopenda ulimwengu wa open source, ubuntu wametoa OS version ya simu. Ila kwa sasa iko compatible na Nexus devices (4, 7 2013 WiFi na 10) Kama kutakuwa na mtu amejaribu ku install...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natumia line ya vodacom,naomba kujua namna yakumblock mtu! Asiweze kunibip wala kunitumia message. Mwenye kujua anisaidie.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari ndugu wana JF naombeni msaada wenu mi nimenunua simu mpya aina ya samsung i8260 sasa tatizo inakataa kuingiza app kutoka kwenye playstore yaani nikitataka kudownload app inakaaa hata masaa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
watashughulikia
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natanguliza shukurani kwenu wana jukwaa. Nawaombeni msaada simu ninayotumia ni nokia n73 inagoma ku INSTALL WHATSAPP. Msaada pls.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Amazing thing but true , Notepad knew about 9/11/2001 ! The flight number which hit the WTC in New York was Q33N ! See it yourself :1. Open Notepad 2. Type : Q33N3. Now, go to Format menu 4...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika hali ya kwenda na wakati nimeweka pc katika Library yangu ya nyumbani nahitaji kuchukua tahadhari kuzuia matumizi ya hatari maana nina vijana wadadisi sana. Nitashukuru kwa msaada wenu
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tafadhari mwenye kufahamu namna ya kuweka hii "text watermark" kwenye certificate/cheti, nimejaribu ku google nimepata ila kuna sehemu inanishinda kwenye TIP na namba 7, natanguliza shukrani za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, kwa wale wanaopendwa kutumia CMS kwa clients wao nawashauri muwe makini katika ku download Themes/Templates na Modules/Plugins za bure. Hii inawahusu sana kwa wale wasiopenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa. Naombeni ushauri wa kitaalamu kwenye mada tajwa. Nataka kufunga system mbili zenye kujitegemea za solar nyumbani kwangu. 1. System yenye uwezo wa kuwasha taa 20 za wats 9...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Nina data muhimu kwenye simu yangu ,video ,picha na hata no muhimu,nahitaji mahala salama zaidi kuhifadhi kisudi kifaa kikizingua niendelee kuziaccess,kuna mtu kaniambia niifadhi google,je kama ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guys in technology firm. for long time I have been using and prefered Hostigator for website hosting reseller but I have found that they are so expensive and storage limit of 200 GB sold at much...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hapa nna galaxy s4 i9500 inaonesha imei null na kwenye baseband inaandika unknown baseband. nimejaribu njia kadhaa lakini mpaka sasa nimechemka, imekaa kaa tu kama music player maana network...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
How To Shutdown A Computer By Using Cell Phone The Requirements or Tools for this Tutorial 1. One cell phone with GPRS enabled. 2. One Email ID 3. Microsoft Outlook on the PC to be put to...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jambo wakuu, Nina email ya yahoo ya mda mrefu tu na nilikua naweza kuifungua kwenye laptop, simu na tablet. Imeanza majanga eti kwenye simu na tablet haifunguki. Nikijaribu wananambia iko blocked...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari Natumia Samsung galaxy dous gt19082... nime root vizuri ila kuweka recovery mode ina anza kwa kuniambia NO COMMAND naitaji kuweka kitkat msaada wakuu
0 Reactions
1 Replies
825 Views
A British company’s plan to unleash hordes of genetically modified mosquitoes in Florida to reduce the threat of dengue fever and other diseases has sparked an outcry from fearful residents...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Habarini wadau naomba msaada kwa hili swala nilifanikiwa kuweka windows 8 pro kwenye pc yangu kama mwezi umepita na nilifanikiwa kui active permanent LAKINI juzi nilipokea updates za Windows zika...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Nina Huawei Ascend Y530 ya tigo ila nilishaiunlock inatumia mitandao yote. Tatizo inasumbua sana kwenye internet iko taratibu mno pia hata kufungua tu mafaili inachukua muda mrefu kufungua, hata...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
habar za weekend wakuu. naomba mwenye utalamu wa kuroot huawei g510 kwa njia rahisi ambayo haina risk sana .
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Back
Top Bottom