Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nilikua na Dunu Trident D-12 lakini wamenifanyia unyama wajanja Ushauri kama umetumia moja wapo ya hizi bidhaa iBeats au earpods Naulizia earpods na iBeats kama ushawahi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Microsoft today launched Outlook for Android and iOS phones and tablets, based on the application it acquired when it bought Acompli last December. These new applications will go live in their...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Habari wakuu, charger yangu ya dell imeharibika lakini nimegundua kuwa cable ya kuchemekea kwenye laptop bado ni nzima. Sasa nimechukua universal adapter nataka niunganishe kichwa cha dell ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna app nyingi za mitandao ya kijamii zimetengenezwa hapa duniani mpaka sasa hivi. Je ni mitandao ipi kati ya hii ungependelea kuitumia kwenye komputer kuliko kwenye simu? 1. Facebook 2...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naamini kila mtu hum ndani anaifahamu kupatana.com 1.swali lang ni hivi mmiliki wa hii site anafaidikaje? 2.je anategemea google adsense pekee yake, 3.na vip kuhusu app yake developer ni wa hapa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Computer yangu nikiiwasha inawaka kabisa lakin inachelewa sana kuanza kuoparate, yaan inakaa baadae kabisa inaandika loading toolbar ndo inaanza kuoperate, nini tatizo ndugu zangu? Msaada.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Gmail walikua wanatoa hii offer, ila wame discontinue tokea mwaka jana, nani anaifahamu website au simple software ya kutuma free sms online? cc Chief-Mkwawa C6 et al.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wadau. Naishi Dar, Nahitaji kujua tofauti kati ya Toyota Noah na Toyota Voxy, nahitaji kununua gari moja kati ya hizo. Sina uzoefu nazo na ningependa kujua kuhusu ubora, ulaji wa mafuta...
0 Reactions
16 Replies
17K Views
Ninafanya biashara ya stationaries, Nina photocopy machine aina ya CANON IR 2318, Photocopy hii naitumia kwa shughuli mbili ambazo ni Phocopying na printing. Napata shida kujua idadi ya kurasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nitajuaje kama fan (fan ya kawaida ile yenye stand) au Blenda (la kusagia juice) ninalonunua ni orijino au fake? Nina mtu amesema twende nae K-Koo kununua na ananiamini kwamba mimi ndio mtaalamu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama kuna mtu anajua kutatu tatizo la sauti kwenye sumsung galax s5 nisaidie maana nikiongea na mtu mwingine ananisikia kwa shida.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, mwenye latest huawei flasher hebu anisaidie,
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naomba Msaada, Nipo maeneo ambayo internet ni ya edge,Kwenye PC ni kero tupu Kwa mitandao yote,tigo,vodacom,airtel hadi TTCL .hivi ipo njia rahisi na nafuu ya kupata network ya 3G ?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Baada ya zuckerbeg kutufanyia vioja..sasa dawa imepatkana..whatsapp plus version 6.76. imekuja na Ant ban,material design na meng tu.. Natumia plus bila shida sasa..No ban any more. Finally...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Nimejaribu kuangalia JF app kwa ajili ya Windows Phone kwenye window store, lakini sijaiona. JamiiForums, Maxence Melo, lini mtaitengeneza?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
There are times when you are busy surfing, On visiting some sites though, There are these Crazy pop-up Ads which seem to be very cleverly set to block your way to the contents of the Main page...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Naomba kutengeneza hii thread maalum kwa ajil ya hii operating system, mim nimeanza kuitumia siku chache zilizopita lakini nilichokuja kuipendea mbali na kuwepo kwa tools nyingi...
0 Reactions
82 Replies
9K Views
Habari wana JF, Naomba ushauri wenu nataka kununua simu aina ya samsung i8260 naomba kujua bei yake pia ubora wake kwa matumizi.
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Back
Top Bottom