Jamani naulizeni namna ya kuondoa password ya document ya word.
Niliweka password na nimeisahau ......mwenye kuweza jinsi ya kucrack anisaidie wanajamii forums
Wadau niko kwenye njia panda..
Computer yangu mpakato (Laptop) Ili crush recently na kulikuwa na important data kwenye Desktop. Nimeshindwa kabisa ku recover data hizo zilizoko kwenye Desktop...
Wakuu naombeni msaada simu yangu ni lenovo s960t ina internal memory ya 16GB, ram 2GB, na processor ni 1.9Mh octacore!
Tatizo ni kwamba nikisoma kwenye storage kule kwenye settings inaonesha...
Natumia simu lain 2 sasa kwenye intanet nataka kutumia laini zote, ziwe zinasoma 3g. Niwe naseti wapi ili zisome zote 3g. Msaada kwasababu lain 2 inasoma E
Kadri technolojia inavyozidi kukua ndio binadam naye anavyozidi kupambana na Ugumu wa mazingira yanayomzunguka.
Kuna hiki kifaa nnakifanyia Majaribio kabla sijaaanza kukiingiza Sokoni.
Kinauwezo...
Habari zenu wakuu,
Natumia simu tajwa hapo juu lkn tatizo nililonalo ni kuwepo kwa GPS kila mda ukipiga simu hutokea na hata ukiwasha internet hutokea pia. Nimejaribu mara kwa mara kuzima GPS...
Habari zenu raia na wasio raia wa bongo napenda niwajuze hiki kitu kidogo tu cha beforward najua wengi wetu tumeona matangazo kibao katika mitandao ila mi naongeza tu kua tuchangamkie fursa wala...
Wataalamu wa haya mambo naombeni settings za internet (sio wap) za voda kwenye Samsung Galaxy Grand Neo (GT-I9060).
Kuna ambazo zimeingia automatically za wap lakini hazifanyi kazi vizuri. Yaani...
Mwana JF. salaam sana, na baada ya salam je hujambo?.
Naomba unielekeze namna ya kutengeneza template, mfano ambayo nikiingiza pesa ilaleta jumla, au ya kuingiza matokeo ya wanafunzi...
Wadau niko kwenye njia panda.. Computer yangu mpakato (Laptop) Ili crush recently na kulikuwa na important data kwenye Desktop.Nimeshindwa kabisa ku recover data hizo zilizoko kwenye Desktop...
Wakuu habari.
Naomba msaada wa maelezo kidogo juu ya uwezekano wa kuifanya website iwe na unlimited space, yani nataka niwe na post videos kwenye website yangu pamoja na picha sasa kuna mtaalam...
Habari wana JamiiForums.
Nimekwama kidogo kuconfigure java development kit kwenye machine.Tiyari nimesha install na kupitia cmd imeniakikishia kwamba ipo.
Tatizo ni kwamba nikitaka ku i run...
Jamani habari zenu watu wa Mungu, naombeni mwenye utaalamu wa simu aina ya Nokia Lumia, nimekuwa naipenda sana hiyo cm ila zipo za aina nyingi zinanichanganya, sasa basi, naombeni mwenye kuifahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.