Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
The Best Phones On the Market For Business Communication As smart phones and tablets proliferate, the number of personal devices allowed to be connected to the corporate network is growing due...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kufahamu ni kwa nini Led tv inakawia kuwaka? ukiswitch on inabaki kuwa standby kwa muda wa dk 5 kisha inawaka taa ya blue kwa seconds chache, kisha inarudi kuwa standby kwa muda mrefu...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu heshima mbele.. Wadau naoma msaada wa Internet settings kwenye simu ya Galaxy Note 3. Nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu lakini ghafla tu imegomea internet.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Halo wana JF mimi ni mwana JF mwenzenu sijawahi miliki wala kutumia dish na decoder ambazo ni free to air sasa nataka kuwa na dish hilo,please naomba ushauri wenu ni aina ipi itanifaa la kampuni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi GT, nimekwama ktk kununua dekoda sahihi kwani zimekua nyingi na kila 1 ina disadvantage yake. Shida yangu nimekutana na mafundi/busines men wanauza receiver /dekoda aina ya wiz- tech wanadai...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Heshima kwenu JF! Msaada kwa anayejua namna ya kurudisha camera kwenye smartphone ilifutika sijui ilikuwaje nilishangaa haipo. Nimejaribu play store nakutana camera 360 ambayo haichukui...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Nina simu NOKIA LUMIA 630, inanipa shida sana nikitaka kuhamisha picha au document yoyote toka simu kwenda PC au PC kwenda phone. Naomba kunisaidia niweze kutumia hii simu vizuri, pia network yake...
0 Reactions
3 Replies
981 Views
Habari jf natumia tecno H6 naomba msaada wa kufahamishwa line one inawekwa wapi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina 1TB external HDD ya Toshiba baada ya wiki moja kuinunua MBR ikawa damaged na software nyingi za ku Rebuild zinauzwa online, pia nimejaribu kwa kutumia command line imekuwa ngumu. Kuna mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwaanayejua, hivi account ya TV1 inaweza ikafungua channel za kulipia za canalsat kwenye SES4 @22.W. Ninatumia Qsat23 mwenye ufaham naomba msaada.
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Wakuu naombeni msaada wenu ni jinsi gani nitaweza kubadili windows OS coz vidude F1 na F12 kwenye keyboard havifanyi kazi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni mniambie application IPI nzuri inayotumika katika smartphone kupakua miziki na YouTube .?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Heshima kwa wakuu wote. Nahitaji msaada kwa anaejua vigezo na masharti vya kuweza kuweka website au blog katika play store ya google kwa sababu nina blogu yangu ya matangazo ya biashara sasa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau kuna hii software inaitwa drop box, hivi ina usalama kweli katika kuhifadhi documents km picha na aina nyingine za documents.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nina computer aina ya samsung mini laptop hard drive iliyopo hapo imeshaharibika nimetaka kuweka nyengine ili nifanye installation lakini kila nikiwasha mashine inanihitaji niweke hdd user...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Habari zenu wakuu. Kama wengi tunavofahamu, swala la accounting na book keeping ni muhimu katika biashara za aina zote.Shida inakuja pale unapotaka kutumia software ili ikurahisishie mambo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada key za adobe master collection cs6 mwenye nazo aweke hapa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba anayejua fundi mzuri wa simu hapa dar anielekeze. Simu yangu imearibika spika kusikiklizana mpaka niweke loud. b'se bila hivyo siwez kusikia .. Shukran.
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Kuna ndugu yangu mmoja amenunua pikipiki aina ya skymark, ni pikipiki za kichina na inakuja na redio. ili kuweza kuplay miziki kwenye redio yao inabidi utumie full sd card, kurahisisha mambo...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Habar jaman wana jf. Nina hitaj solar panel nzur na jins ya kuinstall. Kama kuna m2 ashawahi kununua please give me a technical advice.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom