Habari humu ndani.
Nina huawei ascend Y300 nilikuwa natumia laini ya tigo siku zote ila leo nimejaribu kuweka laini ya voda nikaiwasha ila ikaniomba niweke PIN NETWORK UNLOCK CODE sikuwa...
Nina simu yang Sumsung galaxy S3 nikiweka line network haipand ila inaonekana cm inasoma lin kuw ni tigo, tatzo ni network hukuchiz ya screen inaniandikia invalid IMEI-tigo Naomben msaada wenu.
Wana jamii kama sio ndugu yangu amenipigia sm ningearibu tv yangu, mm nilijua tv yangu mbovu kumbe ni kingamuzi cha star time kinazingua vp maeneo yenu hilo tatizo lipo ?
Big changes are coming to Mozilla, as Google will no longer be the global default search provider for the Firefox browser anymore. Instead, Yahoo will become the default U.S. search option in the...
Habari za jioni.
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tatu mwaka huu nlifanikiwa kutengeneza software ambayo nlitumia html,css,javascript na php na inahusiana na masomo ambayo imebase zaidi kwa shule...
Jaman mwenye msaada..nina htc yangu kwakwel sasa hivi wiki, inaniandika airplane mode turning off, na imefanya network imekata kabisa..nmejaribu kuzima kuwasha stil the same...mwenye msaada jaman...
Salamu wana JF.
Mwenye kufahamu namna ya kuondoa hii browser ya kiarabu ambayo inasumbua sana tafadhal. Maana kila nikifungua browser inakuja by defaulty
Naomba kutolewa ushamba kidogo juu ya 4G network ..ktk mambo hata:-
(1)Namna ya kuipata je, inategemeana na aina ya simu na uwezo wake?
(2)Je,ni maeneo gani ya Tz mtandao huu u aweza kupatikana...
Wana jf wenzangu,nimebahatika kupata li Tv langu sumsung led 40''2014 lenye clome kwa mbele sasa nalitafutia king'amuzi cha local walau chenye kiwango kdogo ili nilifaidi kwa raha mustarehe ili li...
Wakuu habari?
Nina shida moja simu yangu nikijaribu kusign in kwenye fb inagoma kabisa, ila niki konect simu yangu na Wifi yaani network ya nje inakubali kusign in. Ila nikitumia MB za simu ndo...
Naombeni msaada.
Nina motor ya 20HP ambayo nimeifunga katika kinu cha kusaga lakini motor hii imenisumbua sana. Kwanza nilikuwa natumia star delta starter lakini consumption ya umeme ikawa kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.