Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana JF, nimenunua Samsung Galax Tab3, lakini internet bado siipati nimejaribu kupiga simu Vodacom, kuomba wanitumie configuration sms, lakini wamesema kuwa simu aina hii inafanywa...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Habari za leo wapendwa? leo kuna kitu kuhusu hizi movies sanasana hizi series za kikorea. unaposearch kwa kupitia google, unaweza kuzipta sara. tatizo linaijia unapoclick ili uangalie...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Is the IXP in Tanzania privately owned or non-profit? How are the local ISP participate? Is there a room for more IXP? Thanks https://www.youtube.com/watch?v=KL7DMrEAEMI
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Wanajamii tumekuwa watumiaji wazuri sana wa internet,kwa kutumia vifaa mbali bali i.e computers,laptop,smartphones na hata mobile phones imekuwa rahisi kupata habari za kitaifa na kimataifa. Je...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina Desktop ya zamani kwa kiasi fulani, aina ya IBM 2.8 Ghz, 2 GB Ram single core. Tatizo ninalolipata haiwezi ku boot kutoka kwenye flash disk, kwenye boot sqeeze hakuna option ya USB ila kuna...
0 Reactions
10 Replies
971 Views
Habari za mchana wadau wa jukwaa Kwa wale mnaotumia simu aina ya Samsung Galaxy note 3 clone, na ulishawahi kuifanyia simu yako hard reset na ikapoteza logo yake ya samsung unapoizima na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wapi ninaweza pata kioo cha HTC one X na kinagharimu pesa ngapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za saa hizi? Naomba msaada kwa TV hii aina ni BAUHN model: ATV-19HED2 toleo la muAustralia. Hii TV ina mwaka sasa tangu niinunue na kuanza kuitumia. Tatizo ililonalo kwa sasa, power...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari WanaJF. Ningependa kufahamu bei ya simu "TECNO M7" ni shilingi ngapi kwa sasa. Alasiri njema.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Za sahizi humu ndani? Naenda moja kwa moja kwenye point. Mimi niko tigo, nampigia mtu wa tigo halafu nakutana na hii kitu "Thank you for choosing Vodacom blah blah blah." Ni mara kadhaa sasa...
0 Reactions
3 Replies
814 Views
THE COMPANY OnePlus is a smartphone manufacturer in China founded on December 17, 2013. OnePlus is headquartered in Shenzhen. OnePlus was founded in December 2013 by Pete Lau, previously Vice...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
N jinsi gani ya kudownload Google book full book for free?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nashindwa kutumika ms word,excel na power point bila internate kwenye Apple iPad 2, lakini pia nashindwa kuiingiza document na files kutoka kwenye computer,hata music au movies pia nashindwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Husika nakichwa cha habari hapo juu, ningependwa kujuzwa niwapi nawezapata kioo cha iphone 4s, nahitaji kubadilisha sababu simu yangu imechoka kioo ila bado iko pouwa nakwasasa sihitaji kununua...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Ninatumia Sumsung galaxy S5 lakini nashindwa kuthibitisha kama ni copy au original.Siku moja nilifanya restarting simu ikafuta IMEI hivyo ikawa haina internet access je inasababishwa na nini...
0 Reactions
3 Replies
631 Views
habari wana jf? naomba msaada wenu ni wapi nitapata hiyo seson nzima niweze kuidownload? nashukuru sana wakuu
0 Reactions
9 Replies
3K Views
hapo ni no ya simu msaada wakuu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I gat another samsung galaxy s3 inashida moja nikiplay music speaker in a to a sauti then ila Niki piga cm spika haitoi sauti na hats nikichomeka Earphones then nikapiga cm sauti haitoki ila...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Guys msaada kwa anayejua. Nimesahau pattern za cm yangu ninataka kufanya hard reset but nkifka ktk recovery mode inanionesha white triangle with yellow exclamation mark.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nataka nijulishwe ni wapi naweza pata mafunzo ya kutengeneza simu hardware na software, au kama kuna chuo niende kusoma au kama kuna mtu anaweza nifundsha kwa malipo but sharti awe na ofisi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom