Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nokia yatoa majibu kuhusiana na suala la iwapo itaendelea au itasita kuzalisha simu tena. Microsoft iliwahi kuchapisha madai ya Nokia ya kutozalisha tena simu za Smartphones baada ya kununua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kutokana na maombi ya wadau kwamba tuangalie namna gani tunaweza kuzibadilisha stabilizer za kawaida na kuwa voltage booster ili tu ifanye kazi ya kuongeza nguvu ya umeme kwa maeneo yenye umeme...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wa science&tech naomba kujua kuwa notification alert kama nayo inakuwa kama notification za whatsapp au fb kwenye smart phone au inakuje? Maana kama notification ndio nimeanza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mwenye windows 7 anisaidie
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau kuna hii simu ya rafiki yangu ukiizima inajiwasha yenyewe. Naomben mwenye uzoefu na hili tatizo atusaidie pasi ya bao(assist) Tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba mwenye software ya ZTE Join Air au kama kuna software yoyote inayoalow one modem kucnnect na multiple line, anitumie kwa email hii engulwa@gmailcom Nitashukuru sana :horn:
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu mi ni mgeni katika window 8 nime install kama kawaida kwa Ku-copy, Kama mnavyojua kununua c mchezo. Naomba kujuzwa jinc ya kuactivate iwe genuine ya muda mrefu. Coz inaandika your...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari 1.Ukitaka kuweka Wi-Fi kwa wahudhuriaji wa tukio mfano NYAMACHOMA FESTIVAL kwenye open spaces kama viwanja au ukumbi inawezekana kwa watu angalau 1000? 2.Vifaa au Resources za aina gani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mwenye link iliyopo humu ndani ya jamvi inayohusu hii Windows aniwekee hapa sabau mimi sifahamu jinsi ya ku-search thread zilizopita. Nikipata na ile ya Windows 7 itakuwa vema wakuu...
0 Reactions
3 Replies
912 Views
katika hali isiyotegemewa leo asubuhi nokia wamezindua tablet ya android. specs -7.9-inch display IPS LCD 2048×1536 resolution display -Gorilla® glass 3, Fully laminated zero air-gap...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau natafuta Tablet nzuri kwa ajili ya mwanafunzi wa secondary, Naweza pata wapi na kwa bei nzuri ?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kuna watu kwenye hili jukwaa ukiwa unaomba msaada wa kudownload kitu wanakwambia tafuta Torrent, lakini kiukweli torrent haina maana kama hujui jina la software unayoitaka na pia kama haiko...
2 Reactions
51 Replies
9K Views
Nina shilingi laki sita tu, naombeni ushauri ninunue simu ipi nzuri kwa bajeti yangu?
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Wadau mm ni new member naomba jinc ya kusoma post zako hapa JF ambazo ulishawai ziandika.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
programu hii inatafuta kiasi cha Vat ktk bei ya bidhaa,bei ya bidhaa yenye vat(VAT inclusive) na bei ya bidhaa isyo na Vat(vat exclusive).
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je? umewahi kukukutana na vikwazo mbalimbali kama vile kutakiwa kujaza jina lako na email address ili uweze kupata huduma mtandaoni?:A S confused: kamwe usidhubutu kuweka taarifa zako kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za humu, samahani kwa mtu anayejua jinsi ya kujiunga internet kwenye iphone 4s ya kichina kila nikifungua kwenye settings halafu nikifika network nikigusa inakataa kufunguka, kwa anayejua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Microsoft Office 2016 Pro Plus Beta It’s a well-known fact that Microsoft is working on a new version of Office that could arrive in the second half of 2015, but the company has until now kept...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau wa Tech, Gadgets & Science Forum mpo?,mimi mzima.2014 ndio hii inaishia .jana niliamua kutenga saa kadhaa ku-create tangazo fupi la JF ambalo lipo ktk mfumo wa motion graphics.Ni zawadi ya...
13 Reactions
32 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa wadau. Hivi, kama vile zinavyokuwa screened message za kawaida za simu, ndivyo ilivyo kwa msg na picha za Whatsapp ?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom