Wanajamii naomba msaada jinsi gani naweza kuflash modem ya zantel ZTE model AC 2787 CDMA 2000
Na modem ya ttcl ni ZTE model AC 2746, Sn 9A1307219817
natanguliza shukrani!
Habari yako,
MacBook Pro inayohusika hapa ina sifa zifuatazo:
Processor yake ni Intel core dual 1.83 GHz, Ram yake ni 2 GB na HDD 500 GB.
Kwa sasa OS X version yake ni Snow Leopard 10.6.8...
Msaada wakubwa kwa ambao mnatumia acessories (tools) kwa ajili ya kutengenezea computer yako kama utanisaidia kuzilist ili niweze kushare nanyi maana kuna kabiashara nakafanya kwa ajili ya...
Saa mpya za Swiss zinatumia Vimiminika konyesha majira
HYT, the Swiss watchmaker that made waves in 2012 when it released the world's first watch that uses fluids to tell time, is back with...
[SIZE=3]Naomba msaada kwa
anayefahamu ile pressing button anayobonyeza Mgeni Rasmi kuashiria
Uzinduzi wa kitu flani na kutoa sauti ya king'ora ni wapi zinapatikana
hapa Tanzania.
Asante!
Wadau npo mwanza nina gari aina ya toyota mark x ina radio lugha ni kijapani. Naomba kama kuna mtaalamu wa kijapani hapa mwanza, anisaidie kubadilisha na kuwa kingereza maana nashindwa kuifaidi...
Pre-requsites:
1. Ability of your wireless card to support infrastructure mode. To find out:
(i) Find your kernel driver module in use by issuing the below command:
lspci -k | grep -A 3 -i...
Habari wakuu! Najua mko poa na wale ambao hawako sawa kiafya u'll get well soon.
Tatizo langu ni kupenda kujua jinsi ya kupata pesa kupiti website yangu.I mean jinsi ya kuruhusu matangazo...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na gari aina ya Toyota Allex, Tafadhali kwa mwenye ufahamu zaidi juu ya undani wa gari hili naomba msaada kufahamuu zaidi
1,500 cc XS150 S-EDITION
TA-NZE121...
Habari zenu wakuu.
Nimenunua simu mpya sa Samsung S4 ila tatizo internet yake haifunguki, yaan hata kufungua play store imebid nitumie WiFi
Naomben mnisaidie nifanye setting gan hapoo ?
Msaada anayejua namna ya kutumia simu aina ya nokia E7-00 designed in finland tatizo linalonisumbua nikiweka laini haisomi inaandika offline
Karibu wakuu kwa msaada
Wakuu habari za mihangaiko,
Kuna hiyo website (fastcardtech.com), wanauza cm nyingi na nzur from china kama xiaomi, oppo, lenovo etc, naitaji kununua cm kutoka kwenye hiyo website.
Nilikua...
Habari za muda huu waungwana?
Ninataka kufunga cable televisheni, ila naomba kwa wenye uzoefu je
naweza kuingiza katika projekta moja kwa moja na kuitumia bila kuunganisha kwenye television...
Wadau naombeni msaada wa kitaalamu jinsi ya kufix hili tatizo maana nimeangalia kwenye sound drivers zipo sawa but sauti haitoki nikiplay audio wala video....
Kabla ya hapo nilikuwa natumia...
Jamani ndugu yenu nimenunua lumia nataka ku download application nimeshafungua account zaidi ya 5 sasa ni wiki mbili situmiwi verification code,
Naomba msaada mwenye account ya microsoft...
Wakuu naomba kujulishwa kwa wale wenye utaalam na hili:
kuna dish la Azam TV, tunalifunga hapa lakini hatupati signal za kutosha, tumejaribu kuzunguka nyumba nzima bado hatujafanikiwa, kwa umbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.