Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salamu wana jukwaa ! nina PC aina ya acer inatumia windows 7 32bts Sas wiki hii tangu ianze kunamweng amekuw akitumia kwa mambo ya kitaaluma lakn leo nilipowasha inagoma na kuonyesha kuwa ina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za muda huu waungwana? Ninataka kufunga cable televisheni, ila naomba kwa wenye uzoefu je naweza kuingiza katika projekta moja kwa moja? Ahsante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar wana JF mm nilikuwa na shida ya kufanya mtihani wa cisco kwa hyo nikaamuwa kudownload video za tutorial na kitabu cha ccna kipo complete Sasa nilikuwa nahitaji kufahamu nitawezaje kufanya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
(1)*#0*# bofya alama hizi ili ku-test Ubora wa lcd,touch,vobration, n.k. (2)*#12580*369# bofya ili kujua H.S (3)*#0228# bofya ili kujua betri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimefungua microsoft account, wamenitumia verfication code lakini code za kuverfy sizioni na pia inbox yao siioni nfanyaje nategemea msaada wenu, nimejaribu kuresend mara kwa mara email bila mafanikio
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Habari, zenu Juzi nilipitia post humu ikisema njiaa rahis ya kuroot simu. nilifanya poa, nikaroot vizuri. Bt soon after kukamilisha zoezi hilo internal storage haisomi, haionesh file, wala...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wataalamu habari za jioni, naomba msaada namna ya ku updates drivers katika windows7 ultimate ili kupandisha graphics, driver genius imenitaka licence, nimeshindwa jamani mimi sio mtaalamu sana...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nilikuwa nahitaji kujua kama ninaweza kuweka picha zangu binafsi kama templates, vile vile kuhusu kuweka matangazo kwenye blog kwa pale juu unafanyaje ili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wenye mapenzi na ushabiki teknolojia ya smartphones na miondoko inayofanana na hiyo, mzigo wa Nexus 6 umetoka. This time jamaa wa Google wameamua wawape contract hiyo Motorola. Kwa hiyo...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Yaani hadi inanikera, inapata sana joto kama pasi, na muda mwingine inakata network. Msaada wadau
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wenye hamu ya kumiliki OPO aka "never settle" aka flagship killer naona wamefungua dirisha la kuagiza bila invitation version ya 64gb kwa dolari 349 tu na dirisha la kuagiza litafunguliwa...
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Wakuu km kichwa cha habari kinavyojieleza hpo juu nilikuwa nahitaji kujua km kuna uwezekano wa kuweka picha zangu km templates back ground vile vile pamoja na kuweka matangazo yangu binafsi sehem...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhari naomba msaada nmeactivate window 7 kwa kutumia window7keygen zen afta ikanambia nilistart baada ya hapo inawaka haifiki mwisho inazima zen inawaka tena cjui nn tatizo, natumia dell...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wataalam nisaidie namna ya ku update drivers za laptop bila kununua cd. Tusaidie link na if possible lisense key za kufungulia drivers. mi ninejaribu smart driver updater wakataka lisense key...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamii4rum NAOMBA MSAADA WENU. EMAIL INATENGENEZWAJE.NI NAMNA GANI ITENGENEZWE AFU WAFANYIA NINI? MWENYE UJUZI ATUJUZE.MNAKARIBISHWA NYOTEE...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hatimaye kampuni ya Nokia waachia rasimi ramani zao za HERE maps kwa ajili ya vifaa vyote vya Android, ingawa awali ramani hizi zilikuwa zikitumiwa na Samsung Android devices pekee kwa makubaliano...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninaomba mwenye game ya Call of Duty 4 na 5 ani PM na mawasiliano please naihitaj Nisaidien wana jamvi
0 Reactions
5 Replies
938 Views
Habari wana jamvi wenzangu....naomba msaada .computer yangu haichaji baterry kwa sasa inaandika not charging cjajua tatizo n nini... naomba msaada wenu...n Samsung os window 8
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za jioni wan a JF. Kwa mara nyingine tena najitokeza kuomba msaada juu ya mambo ya torrents. Kuna kitabu nilikuwa nadownload. ila hakuna seed hate mmoja lakini peers typo wawili. sasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF natumaini wengi wenu mkinunua magari yaliyotumika huwa mnakimbilia yaliyotembea km chache. Kiukweli na kwa akili ya kawaida hili ni jambo sahihi kabisa kwa mnunuzi wa magari yaliyotumika...
22 Reactions
108 Replies
18K Views
Back
Top Bottom