Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu wana Jf nimesoma post mbalimbali ikiwa ni pamoja na google jinsi ya kuroot simu lakini nimeshindwa naombeni msaada wa njia rahisi ya kuroot hii simu yangu Asanteni
0 Reactions
0 Replies
927 Views
CLOSED Tofauti kati ya mashine(computer) ambayo ni "Dual core and pentium(r)" zinatofauti gani
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Guyz mm natumia Samsung S3mini ambayo inatumia Android version 4.1.2 then mm nataka ni install 4.3 ila cjui nifanyaje ili niweze fanya hvyo so plz help me.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Naomba msaada router d link n150. Haina sehemu ya kuweka modem nifanyaje kupata internet? Au nahitaj vitu gani zaid?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Whats the demand ya watu waliofanya bachelors in unformation systems hapa bongo?
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Wanajukwaa la Tech heshima iwe kwenu natumai mko poa niko hapa kuwaulizeni juu ya hii kitu juzi nilimpigia mtu simu asiyenifahamu kabisa wala hakuwa na namba yangu ya simu lakini cha ajabu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wakuu mambo vipi. Samsung galaxy s2 umepoteza baseband wakat najaribu ku update firmware..msaada jinsi ya ku repair wakuu. thanks.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nina Tsh.200,000 nataka kununua Huawei y530 siitaki ile ya Tigo lkn kinacho niogopesha zaidi ni kubakikizwa kama walivyo nishkisha S4 clone, naijuaje ya ukweli? au nichukue hata tecno P5 tu?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
heshima kwenu wana MMU,naomba msaada wa jinsi ya kufungua simu yangu Huawei Y210-0200,niliinunua toka kwa mtu ikiwa na Google account yake,nilipoichukua nikaweka pattern password lakini jana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wadau,naomben msaada wenu kwani nimeisahau pasiwedi yangu ya email.je nifanyeje
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Display 5 inch qHD (960 x 540) Processor 1.3GHz MTK6582 Quad-Core, Cortex-A7 RAM 1GB Storage 16GB, microSD card slot, up to 32GB Camera 8 Megapixel Rear Camera & 5 Megapixel Front-Facing...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wasalam wakuu, simu yangu samsung gt19100 galaxy s2(korean version) imepoteza baseband yake na imei pia ...so haikamati mtandao...nimejaribu kuirestore kabla sijagundua tatizo ikawa bado haishiki...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau natumia Nokia lumia 610 siwez kudownload nyimbo wala apps mbalimbali kwa anayejua msaada tafadhali. .
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wa hili jukwaa! Sim yangu ya TECNO P5 imepata tatizo la kujizima yenyewe na ukiwasha inastack na kuzima tangia asubuhi ya leo nikapata akili ya kutoa memory card hatimaye...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
CHIEF Mkwawa , C6 , Mwl RTC , na wengine hebu tupen huu uzi maana hii kama imenisprize hivi.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
HTC ONE X S720E cid: HTCCN701 Msaada wenu wa rom yoyote wazee ikiwezekana official Rom
0 Reactions
10 Replies
1K Views
jinsi ya ku end calls kwa kutumia power button
0 Reactions
6 Replies
804 Views
Naombeni msaada wa taaarifa kwa anaejua garama ya KIOO cha Samsung s4 na pia naweza kukipata wapi kwa Dar. Tafadhari wadau
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Nimepata iPad aina ya apple kutoka kwa MTU,kuna program nyingi muhimu nikizidownload inaniomba ni update ios7,he nitaipataje hii window?naomba mnisaidie.
0 Reactions
6 Replies
982 Views
Naombeni msaada jinsi ya kuhamisha contacts kutoka account ya gmail kwenda kwenye iphone. C6 chief-mkwawa privacy Jestkila CYBERTEQ Brakelyn
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Back
Top Bottom