Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
JAMANI, naomba kwanza nitangulize maombi ya msamaha kwa kutohudhuria katika jukwaa kwa muda mrefu kidogo... safari za mbali na majukumu mengi... nilitingwa. nisameheni wakuu. nomba pia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maeneo mengi Tanzania yamekuwa na matatizo ya umeme;mimi ninadhani hiki kitu hapa chini kinawezekana kabisa kuwa suruhisho la tatizo la umeme maeneo ya vijijini hata mijini pia! Katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Connectify v9 #Whats New in Connectify 9 ? New Driver / Improved Compatibility Fixed a fragmented packet handling issue New ‘Settings' Tab Static IP Addresses New Startup Option How to...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
I think this is the first Kinetic Typography video in Tanzania. made by me, detailing my C.V. Tool was only Adobe After Effects, it took me 2 days. What a Lovely Fashion of Presentation!!
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Jamani mwenye idea ya hv ving'amuzi vya q sat changu jaman kinansumbua hasa hasa s3 inakwama kwama kila baada ya muda kidogo in short kinanyima raha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sio tetesi tena, jana Google wametangaza toleo jipya la operating system yao ya android. Toleo hilo ambalo mwanzoni lilijulikana kama android L sasa imethibitishwa kuwa L inasimama badala...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Do you have Rolex Unworn watches that you want to sell? Well, let us go for the easiest option to do that. Opt for a trade in. You can easily get them sold as well as buy a new model of Rolex...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Kuna mtu kaniletea hii simu anauza ni Itel it 1500. Naomba mnishauri kama niinunue au la. Anataka laki 2 ITEL 1500 iNOTE GRAND ITEL NETWORK - 3G+/WCDMA SIM...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello everyone, I wanted to call USA for free from my mobile!!! What should I do.
0 Reactions
5 Replies
948 Views
The pen drives are the most common tools of storage for portable data. They are small and convenient to carry. All our files and folders that need to be accessed on multiple computer systems are...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zanguni, Naomba kufahamishwa kwa ajuaye juu ya hizi gari, ni kweli hydrolic ya PB, GAPCO au nyingine za elfu 15 hazifai kwa hizi gari na kua zitaua gia box? Fundi ananambia...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Natafuta mtu anayeweza kunisaidia ku unlock hii router ya smile iweze kusoma simcard zingine, asanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. So for the past few weeks nimekuwa nikifikiria kuhusu kuanzisha an ecommerce store like amazon catering to the Tanzanian market. Kama wengi tunavyofahamu Amazon.com: Online...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Shalom. Wanajamvi nawaombeni msaada tafadhali. Natumia Modem ya Voda E220. Nina matatizo mawili makubwa kuhusu kwayo. 1. kuna wakati niliacha kuitumia kwa kama miezi miwili hivi na nilipoanza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani naomben mwenye program ya multism anisaidie
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Wana JF naombeni mnisaidie chuo kizuri ambacho naweza kusoma short courses za programming languages za .NET,VB6,PHP na hata java ili niwe competent nami niweze kutengeneza application software...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari G-THINKERS? Naomba msaada wenu wa hii kitu vipi jinsi ya: 1. Kufanya Installation. (Is there any needed software to run it, coz yangu naona haileti any installation window). 2...
0 Reactions
7 Replies
934 Views
Wakuu habari zenu. Kijana wenu nina wazo la kutaka kujifunza kudisgn matangazo ya makampuni mbalimbali hapa nchini ( Tigo,Airtel,Zantel,Pepsi,Cocacola,Mahotel n.k ) Mimi nitakuwa tofauti...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, Kuna wadau wamekuwa wakiulizia Workshop ya electronics nyingine ni lini,jibu ni kwamba workshop kwa sasa haita kuwepo hadi mwakani,kwa sababu kuandaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Humans may only survive 68 days on Mars A general view of Mars, captured by Mastcam:Left onboard NASA's Mars rover Curiosity on January 27, 2013 (AFP Photo/)...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Back
Top Bottom