Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina simu yangu N3 imeingia mafuta kwenye skrini nifanye nn ili kujausha mafuta hayo?
0 Reactions
1 Replies
684 Views
wakubwa kwa yoyote aliye download hii windows mpya (technical preview) unaonaje walichokifanya? kwa upande wangu wamepiga kazi nzuri sana
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakongwe wa digitali Tanzania DSTV,wameingia sokoni tena kwa kasi kwa punguzo la Tsh.50,000/= full set ni Tsh.99,000/= tu.Pia wameweka kifurushi kipya cha kitanzania kiitwacho BOMBA kwa kiasi cha...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Npo mbali na benk na nashida ya pesa! Nahtaj kuelekezwa namna ya kuamisha pesa toka CRDB kwenda m pesa kwakutumia sim bank
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Ivi kwenye simu, rum ni nini mfano tecno p5 ina rum 512 mb na tecno m5 ina rum 1gb, na mhz ni nini moja ina 1000 na nyingine 1300. Niambie mwenyekujua plz
0 Reactions
21 Replies
2K Views
nikicheki naona swapper apps nyingi kama RHEOSOFT RAM expander,yenye uwezo wa kuchukua sehemu katika internal storage ya simu yako na kuiongezea kweny RAM,inahitaji rooted devices....naomba kujua...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu!! Mara nyingi natumia line ya voda kwenye simu yangu, galaxy ace 2!! Sasa kila nikijaribu kuweka line ya tigo internet haikubali pamoja na kufanya setting upya kwenye Apn! Je...
0 Reactions
2 Replies
993 Views
wakuu naombeni msaada wa data recover nzuri . kwa yeyote mwenye link au jina la aina ya data recover nzuri anijuze maana nimetafuta online kila nikidownload napata zinazo weza kurecover mb kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
How to configure internet on Samsung Galaxy Note GT-N7000? Just steps to be followed!! Best regards members,thanks!
0 Reactions
11 Replies
12K Views
Habari wanajamvi... naomba msaada simu yangu inagoma ku-upload picha na video kwenye social-network tatizo hili Ni kwa picha nilizopiga na lilianza baada ya kubackup simu, aina ya simu Ni Nokia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natanguliza shukran za dhati kwa wana jf kwasababu wananifanya na Mimi nijione naishi Tanzania yani huko daslam kwani Mimi naishi Tanganyika huku kigoma mwisho was reli. Shida yangu nataka nijue...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu wa mambo ya matechnolojia, naomba kuuliza steps za kuunganisha simu nyingne itumie internet niliyonayo mimi kwa njia ya wifi kwakupitia simu yangu aina ya blacberry mana...
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Habari wakuu HP 630 i3 2.53ghz 500hdd... ram upgraded from 4gb to 8gb ! but the blue screen problem arose since then, tech help please! Thanks
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau naombeni jinsi gani nitaweza kutatua hili tatizo kwani kila nikiwasha simu ndo notification nnayoipata na kunifanya nishindwe kutumia baadhi ya apps kama whatsapp facebook google chrome na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Natafuta program ya computer, ambayo ipo hv: INAKUWA NA COLUMN/ROW KM TATU AU ZAIDI. KATIKA HIZO COLUMN/ROW NAWEZA KU APPLOAD PICHA NYINGI WALAU NNE. NA COLUMN/ROW ZINGINE NAWEZA KUANDIKA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba mnisaidie info za dealer au wapi naweza pata dell latitude e6440 laptop hapa dar au latest version ya latitude ili mradi iwe genuine na bei ya kawaida. Shukrani sana!
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Habari wadau,, nlijua naomba kufahamu Kama inawezekana kupata huduma ya tv kwenye Laptop yangu, NB,, sio online tv
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Basi nikjua kampuni ya blackberry ilishajifia kitaaambo, actually haipo kwenye race za smartphone japo siku za awali wao ndio walikuwa vinara, anyways siku mbili zilizopita jamaa wametoa kitu...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Amani kwenu wanajamii.Laptop yangu mwanzo ilikuwa inaweza kudownload video vizuri ilikuwepo internet download manager. Lakini sasa nikitaka kudonload inataka niweke serial number.Nimejaribu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
naomba Masada cm yangu aina ya tecno p5 inatatizo nikiiwasha inawaka ila hairespond chochote Kisha inazimika na kubaki na maandish techno nimejaribu kutoa memori card ikakubali kufanya kaz ila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom