wakuuu.. bado naendelea kufurahia online tv kutoka kwa clouds tv pekeee tu Tanzania nzima.. tujuzane tv/channels nyingine tafadhali.......
nawasilisha.
The eight-week-old social network Ello has a manifesto: no ads, no data-mining, no algorithms that make decisions about what you should see, no turning users into products. If you hit the I...
Tunaishi port elizabeth,south africa.tunaomba kujua kama itv wamebadilisha frequence,tbc tunapata katika intel906,3891mhz,4445 symbol rate
tunaomba anayejua manake kuna mambo tunamis
Habari wana jamvi,
Nawaletea feedback kuwa AT&T Iphone 5 unlocked within 48hrs now its working perfectly... all credit goes to Brakelyn ndiye aliyefanikisha mchakato huu.... thanx alot bro keep...
wakuu habari ya jioni.
s4 yangu inaniletea mawenge siku ya nne sasa internet napata kwa opera browser tu. yaani watsapp nasoma text tu image na video hazifunguki. facebook app halikadhalika...
Lengo la mafunzo haya ni kuboresha ujuzi wetu katika uundaji wa vifaa mbalimbali vya kielectronics.
Sababu kubwa ya kutaka kuboresha ujuzi wetu ni katika kuachana na uundaji wa...
Wadau ninahitaji sana kutengeneza Blog ya kwangu kwa ajili ya Jamii, Elimu na Biashara pia. Kwa anayefahamu please anielekeze namna ya kutengeneza na Host nzuri ya kujiunga nayo ambayo ipo free...
Kuna mtu amekua akirekodi mawasiliano ya cm yangu .... yaan sms zote ninazotuma na kutumiwa yy anaziona pia hata nikipiga au kupigiwa anasikiliza maongezi yangu...... nisaidieni njia rahisi ya...
Nimeizima vizuri lakini leo kuwasha imegoma kuwaka nimeifungua ndani kwenye motherboard kuna kitaa cha kijani kinawaka tatizo itakuwa ni nini na nifanyeje kuifanya iweze kuwaka ?
Sent from my...
ndugu na marafik naomben msaada, nina nokia lumia 920 ila inatatizo la kujizima zima. Mfano ukipiga picha inazima, pia sometime inajifungua yenyewe ile search ya bing.
Hello wanaJF, We are Powercomputers, we are official authorized dealer of selling,providing services, and support to the TALLY customers if you need to purchase this accounting software or you...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.