Habari za mchana huu wanajamii. leo nimekuja na hii hoja ya kuwa napenda kuwauliza apps developers wa humu ndani kuwa kumekuwa na apps kwaajili ya OS mbalimbali kama vile iOS, BB OS na Android...
Wakuu habari;
Naomba msaada kama kuna mru anaweza nipatia soft ya data recovery kwenye phone memory card,maana kuna vitu nilivifuta siku nyingi kidogo ila leo navihitaji kupita kiasi.
Msaada...
Mac computers can't get viruses
Matt Rosoff Business Insider
Yes, Apple computers are susceptible to malware, too. Apple used to brag its computers aren't...
Habari wakuu wa Gadgets
Ndugu yangu amesahau namna ya kuingiza pattern kwenye simu yake hivyo anashindwa kuitumia.
Naombeni msaada afanye nini ili aweze kuifungua tena simu yake...
Ndugu zangu naombeni kujuzwa juu ya size ya dish la offset(ku-dish) ili niweze kupata eutalsat 8 west a , amos 5 , thaicom 5 nawakilisha nipo Dar-Es-Salaam,eneo la Chanika,Buyuni
Android-the most widely-used mobile operating system in the world made by Google-actually owes a lot to patents owned by its erstwhile rival, Microsoft. There has been a lot of speculation about...
Niko na dstv decoder ila nataka kununua fta receiver tofauti na dstv so nauliza kama nitaweza kutumia hili nililonalo(dstv) pamoja na hio lbn iliyopo
Msaada wenu nauhitaji xana
Hapo awali mtandao wa airtel ulikua unafanya vizuri kwa internet na pia network kawaida huku mikoani,nawashauri mtoe taarifa kama kuna matengenezo mnafanya otherwise mjirekebishe kwani hatuwaelewi!!
eBay listing for the iPhone 6 prototype
An opportunistic eBay vendor is selling what they claim to be an iPhone 6 prototype - a device that Apple would use for internal testing but that...
Habari wana Jukwaa
Naomba msaada ni namna gani naweza tumia huduma za vifurushi vya internet kwenye simu Yangu bila kujiunga na special bundle LA blackberry.
Natanguliza shukrani.
Cc...
Guys wapi naweza pata mtu wa ku-unlock Vodacom k3772z awe maeneo ya Ubungo,Sinza or Kimara.....au kama kuna mtu anayejua jinsi ya ku-unlock anielekeze.......
Wataalam salam kwenu.hebu niambieni kama kuna uwezekano huo.naweza kumtumia mtu ujumbe kwenye whatsapp bila yeye kupna namba zangu? au naweza kuweka namba yangu invisible asiitambue?
Habari zenu wakuu wa mambo ya matechnolojia, naomba kuuliza steps za kuunganisha simu nyingne itumie internet niliyonayo mimi kwa njia ya wifi kwakupitia simu yangu aina ya blacberry mana...
Kwenu wakuu wajuzi wa haya mambo, naombeni msaada juu ya ku-connect internet kwenye tablet yang inayotumia lain mana nikiweka laini inaniambia 'NO INTERNET CONNECTION' sijui ni settings gani...
Wandugu leo nilikuwa najaribu kujifunza kujaza Ccccam kwenye qsat 15g yangu ila hiyo acount ilishatumika ikagoma kuconect niliporudi kwenye ile avatarcam hd imegoma kuconect kwenye sever msaada jamani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.