Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana Jamii Forums, Mimi Nina RAV 4 model ya 1999. Inatatizo la kutoa sauti ya kugonga nyuma kwenye maeneo ya kwenye diff ya nyuma, hasa ninapo-engage gear. Je kuna mtu yeyote anafahamu solution...
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Tangu jana playstore yangu imegoma kudownload na wananiambia tatizo ni nafasi imejaa. Nachoshangaa ni kuwa mi nina free space kama MB 130 lakini hata nikitaka nidownload kitu cha Mb 1 bado...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ndugu wana jamvi, kwa yeyote mwenye ujuzi na hili tatizo naomba anipatie ufumbuzi laptop inafungua google na facebook tu web zingine inafungua mara chache sana, wakati fb/gl zinapo funguka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wandugu. Nimenunua gari ina Dvd player na radio. Kuhusu radio inapiga vizuri lakini nikiweka Cd inaandika kijapani na haichezi. Nimejaribu kubonyeza bonyeza button zilizopo lakini sielewi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF. Jamani naombeni msaada namna ya kuangalia video za youtube bila kudownload. Simu yangu ni blackberry curve 9030. Asanten
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Pimp your iPhone: 20 essential tips Apple's iPhone, the handset that almost single-handedly kickstarted the smartphone revolution, is instantly recognisable. Last year we got two new models...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
mambo haya tayari yameshakuwa confirmed 1.store ya kudownload apps itakuwa moja bila kujali unatumia simu au tablet au desktop 2.developer atacode application moja tu lakini itafanya kazi kwenye...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kutokana na ushauri niliopata kutoka kwa wadau mbalimbali nimeamua, kununua part moja moja ili niweze kutengeneza pc, kwa ajili ya kucheza magemu ya mapya yenye requirement kubwa. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Hello wapendwa,natumia smartphone huawei!, nahitaji sana kusikiliza redio hapo juu kwa apps za redio but sifanikiwi. msaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wadau naombeni msaada katika hilo maana nashindwa kabisa kwa anaejua atujuze
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau, Nimeroot simu yangu tecno m3 nikaondoa battery alert, baada ya kuiondoa. simu yangu ikifikia 15% ya battery siwezi kutumia tena huwa screen inakuwa nyeusi na kuandika "anfortunatly...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Nataka kuichukua hii gari waliowahi kuitumia na wataalam wa magari naomba mnipe juu ya ubora wake na matatizo yake kwa ujumla ili nitakapo inunue nijue shida yake ni nini hasa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau msaada jinsi ya ku unlock vodafone 875 alcatel china mobile phones hiz za vodacom za promotion
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habari za cku ya leo jamani? mimi naombeni mwenye kufahamu anisaidie jinsi ya kujiondo kwenye mtandao wa FACEBOOK mana imekuwa usumbufu na kero zisizo vumilika.
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Nimepata iphone naomba kujuwa namna ya kupata snapshot toka kwenye simu hii natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Nimenunua Laptop sjui ndo notebook aina ya Toshiba C50-B Model ilikuja na window 8 nikasema subiri nibadilishe window bcoz ngumu kutumia. Sasa nimeweka Window seven ultimate kuna! haipunguziki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika kuendelea kusambaa kwa teknolojia nchini kwetu mambo yamekua rahisi zaidi, hasa taarifa za picha. Angalizo langu ni kwa wale ndugu zangu wanaopenda ku-download ramani za nyumba na either...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejaribu kutaka kujisajili na huu mtandao lakini nimeshindwa kutokana kutokuona sehem iliyoandikwa sign in ..sign up n.k. sasa kwa anayefahamu jinsi ya kujisajili kwenye huo mtandao atujuze
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Windows yangu imeleta message kwenye screen " ACTIVATE WINDOWS GO TO PC SETTING TO ACTIVATE WINDOWS" Kweli nimechoka kuondoa hiyo kwa kwenda kwenye pc setting lakini sijaona hiyo option ya...
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Jaman nawaombeen mwenye kujua dollar moja ilikuwa TSH ngp kwa siku mbili zilizopita?coz nimeambiwa huwa zina vary kila siku.Natafuta kwenye internet mtandao unazingua
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom