Tails, a Linux-based highly secure Operating System specially designed and optimized to preserve users' anonymity and privacy, has launched its new release, Tails version 1.1.2.
Tails, also...
Speed Up Your Browser and Compact Your MailDon't know about you, but there is one particular thing that annoys me big time. That's a slow and unresponsive browser. I just hate it when the browser...
Amani kwenu wanajamii. Napenda kujua kama kuna utaaalamu au mwenye kufahamu Jinsi ya kugundua mtu unayewasiliana nae mahali alipo kabla hajakuambia.
Nitashukuru sana
Ilikuwa vigumu mwananchi wa kipato cha chini nchini kumiliki nyumba au kifaa chenye mfumo wa umemejua.
Mtu aliyemiliki moja ya vifaa hivyo alionekana kuwa na pesa nyingi. Hata hivyo, ufahari huo...
Habari Wadau, nomba msaada jinsi ya kupata Activation Key za hizi Drivers update tools, DriverToolkit 8.3 na Microsoft Drivers Download Utility.
Natanguliza shukrani kwa msaada wenu.
Habari zenu wakuu, nina simu hapa iphone 4s (ios 7.1.1) nataka kufanya jailbreaking, sasa naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa ku download torrents after jailbreaking maana ndo kitu cha...
Wadau naombeni msaada kwasasa laptop yangu inashindwa kabisa kufungua files.
Mfano nilfungua website ya TCU na kujaribu kufungua GUIDE BOOK 2014/15 ilishindwa na pia nikitaka...
Simu yangu ina tatizo kwenye ku download apps kutoka play store nikitaka ku download inaniambia
"Erro in downloading there is insufficient space in ur device"
Tatizo nn jamani wakati memory...
Hatimae baada ya miaka miwli na ushee Apple wametoa saa ya smart. Saa hii sio tu itaimarisha mauzo ya iPhone bali pia inakuwa ni gajeti ya kwanza ya aina mpya kutolewa na Apple tangu Tim Cook kuwa...
Guys natafuta software ya zte join air 1.0....nimejaribu kutafuta kwenye net through sites kama 4shared na pia nimetumia links mbalimbali nlizoziona humu jf but sijafanikiwa kuipata so kwa yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.