Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
ICYMI: September 27, 2014 WPCentral News By Sam Sabri, Saturday, Sep 27, 2014 at 5:39 pm EDT...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Wakuu computer yangu ina stack yaan tatizo litakuwa kitu gan?
0 Reactions
2 Replies
630 Views
Naomba msaada Niko na dish la dstv ku band na iko set up na East satelite naomba setting ili niweze kupata FTA
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Ni IPAD gani kali means nzuriii sana kwa matumizi na mauzo chuonii kwa india ni sh ngapi au nchi gani inauzwa bei poa msaada tafadhari
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Wakuu, Nimeibiwa simu ambayo ni ya thamani halafu ina data nyingi katika forms mbalimbali zinazoifanya iwe na thamani zaidi. Simu ilikuwa connected na cloud server kwa hiyo nimefanikiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau heshima kwenu, Naomba yeyote mwenye kujua WAUZAJI WA JUMLA wa BOLTS AND NUTS na LUBRICANTS anielekeze walipo au kama kama naweza kupata contacts -simu,email nk. NATANGULIZA SHIKRANI
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamii forums tunaomba mtuwekee feature ya mtu kuondoa thread yako uliyoianzisha. Mbona hiki kitu kinawezekana kwa social networking sites zingine. It is a basic functionality.
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Wakuu naomba nijuzwe namna ya ku update s2 yangu coz had leo iko na kernel version. So how ?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada jinsi ya ku unlock hii simu niweze kutumia line zote
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wadau msaada wenu jamani natumia mtandao wa Tigo tatizo linakuja pale ninapopokea Sms moja inajirudia hata mara 6 kwa mfano nimetumiwa Mamboo sms hiyo moja inajirudia mara 6 lkn inaingia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni msaada ni jinsi gani naweza kudownload Apps na kuzi save kwenye sd card maana simu imegoma kila nikijaribu inasema error row memory.natumia samsyng mini galax sd card ina 1.8gb free...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani pm zimejaa na nmna ya kufuta sijui embu nisaidieni wakuu!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanasayansi wa NASA ,wanasema jua liliumbika takriban miaka bilioni 4.59 iliyopita. Likiwa limeumbwa kwa mchanganyiko wa gesi za hydrogen na helium,uso wa jua una nyuzi joto 5,500'C na nyuzi joto...
3 Reactions
48 Replies
11K Views
Hivi ni sahihi kuziunganisha pamoja zile waya zinazotoka kwenye nguzo kwenda kwenye nyumba?maana naona siku hizi hazitenganishwi.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
This method doesn't requires you to do a Reinstall or download risky softwares or cracks. First we will de-activate windows and then change the product key.No restart is required.Lets begin (Do...
0 Reactions
1 Replies
78K Views
Wana JF, Nashindwa kujua kama nimepost swali katika ukurasa husika na nikitoka JF na kurudi kwenye ukurasa husika sioni tittle ya topic niliyopost, nina tafutaje jamani? Maana niliuliza swali JF...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naombeni msaada wataalam wa hivi vitu, nahitaji kuongeza 4gb ram ya my hp 630 i3 ila sijui bei yake ni kiasi gani.... natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
7K Views
The CRUD cycle describes the elemental functions of a persistent database. CRUD stands for Create, Read, Update and Delete. (Retrieve may occasionally be substituted for Read.) These functions are...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
You have at least these five options for modeling the type hierarchy you describe: Single Table Inheritance: one table for all Product types, with enough columns to store all attributes of all...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Habari wadau, Jamani kumekua na mkanganyiko mkubwa sana katika magari yenye aina hizi za mashine (engines) hivyo wataalam naombeni mtoe elim hapa. 1. Tofauti kati ya gari automatic na manual...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom