Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wadau, Kwa mwenye kuelewa naomba kufahamishw jinsi ya kufanya screenshot kwenye simu. Nawasilisha..
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba kwa yeyote anaevijua hivi ving'amuzi anijuze chanel zinazopatikana katika king'amuzi hiki,malipo yake kwa mwezi na hata je sehemu ambazo digital haijaanza kutumika vinaweza kupiga kazi
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu nimekuwa nikiipenda sana na kuitumia simu yangu katika mambo mengi ya proffesion yangu lakini sasa nahitaji kuupgrade... Nimejaribu imeshindikana na kuwahi kulock kabisa. Wakuu mwenye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Watafiti wamechanganyikiwa kuhusu ikiwa kampuni ya Apple inapaswa kutoa kauli yake kuhusu ripoti kuwa simu yake mpya ya iPhone 6 inajipinda mtumiaji anapoishi kuiweka ndani ya mfuko wa suruale...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg sim yang huawei y 200 inasumbua ikijilock ukibonyeza power button haiwak kwenye screen,hadi nibeep kwa sm nyngine au nitoe betri,Msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
925 Views
Wanajamii mimi ni mpya kabisa katika mambo ya computer ila najua kama nikielekezwa, maana baadhi ving najua ila ufundi ndo sijui...Kwanza kuna mtu alini insatolia windows 7 sasa jana usk nikawa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Apple Apologizes For iPhone Update Bug And Releases New iOS 8.0.2...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
msaada wajomba unahitajika hapa,hiyo game nime install vizuri kabisa tatizo kila nikijaribu kuifungua napata error message "seculauncher;failed to start application (2000).....kama unajua namna ya...
0 Reactions
5 Replies
900 Views
Jamani mwenye haya ma game anijulishe nayatafuta kwa udi na uvumba, nimejaribu kudownload lakin sasa wiki ya pili hii hayajakamilika sababu sehemu nilipo (kahama) network kimeo. Kwa yeyote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wanajamvi... naomba msaada kwa anaejua hili... nina tecno f7 imepasuka screen je inaweza kupata screen ya kureplace au ndo basi tena? naomba maelekezo au namba za cm napoweza pata msaada...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
wakuu msaada wenu, nikisearch vitu kwa kutumi google, connection inakaa ila nikitumia yahoo, wikipedia inakubali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ni baada ya kuweka laini yangu ya airtel kwenye modem ya airtel, baada ya kuirudisha kwenye simu nimeanza kupokea sms kutoka namba 0 yaani kanamba kamoja tuu 0 kametuma sms mpaka sasa zimefika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello, Hii iphone 5 nikiiwasha inataka niingize apple ID ya mtu mwingine ili ifunguke nimejitahidi lakini haikubali kuna njia yeyote ya kuifungua nijuzen jaman
0 Reactions
14 Replies
2K Views
kiukweli vocha hizi zinatuokoa watu wa kipato cha chini hebu fikiria 20 DK mitandao yote,300 sms na 125MB kwa 500tshs wkt voda 500tshs ni Dk 8,sms 300 na MB40 voda tupa kuleeee navunja line ss hv
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Flash yangu nahisi ime-corrupt, kila nikifungua inahitaji niiformat, nilijaribu kuformat kwa njia ya kawaida ikaniletea ujumbe "windows was unable to complete format" . Nimejitahidi kuiformat kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Apple sold 4 million iPhone 6 and 6 Plus in first day Apparently, a lot of people want the iPhone 6. Apple sold a record 4 million iPhone 6 and iPhone 6 Plus smartphones on Friday, the...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
Water vapour found at distant Neptune-sized planet ...
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Wadau wa teknolojia hili tatizo la internet kutotulia kwenye H au H+ limekuwa zaidi ya kero kwenye simu yangu, yani muda wote inabadilika badiilika mara h,3g,e na mara moja moja sana inakuwa h+...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
oya wadau kwa mtu yeyote mwenye lile draft la wale madada wanao vua nguo aliweke humu, hard disc yangu imekufa ndo maana nimelipoteza hilo game au kama kuna link itupieni humu
0 Reactions
2 Replies
6K Views
kulingana na kura zilizopigwa na maeditors,+authors wa web ya cnet.com wameonelea hivyo binafsi nakubaliana nao,pitisha macho juu ya hiyo video then acha comment chini ya hiii thread Prizefight...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Back
Top Bottom