Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau naomba msaada wenu ili niweze kujua tofauti ya iphone 4 na iphone 4s kuja jamaa kaniletea simu sasa mimi nataka kuhakikisha kama ni IPHONE 4 au IPHONE 4S. Version-7.1.(11D169)...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu, Nina ndugu ana simu aina ya samsung. Wiki 3 zilizopita nyuma aliingiza kwenye povu la maji wakati anafua na ht kioo kilipata crack sabab ya kudondoka. Nilipeleka kwa fundi wa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ndugu wana jf, naomba msaada wa ni power bank ya aina gan natakiwa kununua mana cm yangu ni tecno m5 ambayo capacity ina 1800amh , niaina gan ya p.bank yenye capacity ya ngapi na naichaji kwa muda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika mambo ya ajabu ambayo mtu anaeza akapinga. Ni ukweli kuwa dunia ni duara, na wote tumesimama juu yake, wengine kichwa chini miguu juu, wengine mlalo, na wengine kichwa juu miguu miguu...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, Kwenye simu yangu( nahisi hata baadhi ya smartphone kadhaa hili jambo lipo hasa za dual simcard) kuna animationa za Window na Transaction. Nini kazi zake? Kipi kitatokea km...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
source:Bofyatz.com:: Tanzanian tech blog
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Salama? PC yangu ni kampuni ya lenovo ina tatizo pindi ninapoiwasha inaonesha jina na kukata display tena huwaka na kuwa zoezi endelevu pasipo ku-ran programme yoyote. Naomba msaada kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wapendwa simu yangu inawaka na kuishia kwenye huawei logo. nikitaka update firmware inaandika update exception,emmc readonly,you cant update your system
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF, naomba msaada simu yangu ni tecno p3 tatizo niki download vitu inaniambia insuficient space, wakati nimedownload vitu vichache sana imejaaje, na inaniambia sc card space 5.34 gb...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Natanguliza shukrani wa wana Jf naombeni msaada kwa anaejua free software ya hotelin itayo control booking na regstration kwa wageni. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
832 Views
I am working on my blog www.josephmutakubwa.blogspot.com I kept the slider and hosted the images in drop box but they can be displayed anyone with an idea please help
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Wakuu naomba kuuliza ISP gani hapa bongo anatoa services za static IP addresses kwani nahitaji kuitumia kwenye server yangu ya nyumbani.
1 Reactions
19 Replies
3K Views
View gallery . . . Astronauts don't typically need to contend with turtles or fish in the middle of a spacewalk. But a team of spacefarers learned how to manage these distractions...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Habari zenu wana jukwaa, kwanza poleni na majukumu. Nina swali moja, hivi nikilipia shilingi elfu tano kwenye kifurushi cha azam au startimes badala ya bei halisi ya 12,500 au 10,000 naweza kupata...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Masada wenu jamani unahitajika kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Cc shiny c njunwa wamavoko
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie namna ya kutatua hili tatizo,simu ni mpya kabisa aina ya samsung galaxy ace, tatizo kubwa nikipigiwa/nikipiga simsikii mtu wa upande wa pili. Pia internet ipo slow sana, na...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Nina Pc dell latitude d620, Jana nili install partition magic 3, baada ya hapo ikaleta ujumbe kwamba ile software haikuwa compatible na Windows ikahitaji kurestart. Nilipo restart ikawa inawaka...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana Jf naomba mwenyewe software ya ARCMAP 9.3 aniwezeshe jamani.
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Wadau habari zenu, Email account yangu ya yahoo niliofungulia account hapa JF imeblock na sina access yoyote ya kufanya kwenye mambo yangu kadhaa niliyotumia kwa account hiyo ya yahoo ikiwemo ht...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
vodacom wamekuwa wakinitumia sms kila saa kuwa "mnunuzi wa simu yako amepatikana" nk sasa nifanyeje kujitoa na huduma hii kwan sikumbuki kama nimewahi kujiunga
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom