Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
hiki ni kifaa ambacho ukikitazama utakiona kama kitu cha kipuuzi puuzii hivi,lakini hiki ndio kifaa ambacho ninatoa mchango mkubwa katika dunia yetu,hiki kifaa ni CPU( control poccesing unit)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nikon camera S9500 inatoa msg Mode dial is not in proper position, nikiwa nawasha.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu nina mpango wa kununua spika ndogo zinazotumia bluetooth nahitaj kujua ubora wake na bei ....nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Habari waheshimiwa, Nina mpango wa kutengeneza website na mobile applications ambayo inahusika Alumni registration (yaani inakuwa na form ambayo wanafunzi waliomaliza wanajaza au ku edit) i.e...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu,Nina mpango wa kujenga nyumba kijijini kwetu ya bati 20,gharama kubwa ambayo nitaipata ni bati,mbao na misumari,tofari hizo ni cheap sana maana tofari moja ya kuchoma haitafikisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiona hizi Apps za kununua kupitia Play Store bei katika Tshs! Ni kwa jinsi gani naweza kununua hizi Apps in local currency?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
watalamu naomba msaada wenu ni jinsi gani naweza kuilinda simu yangu na vibaka.??
0 Reactions
61 Replies
8K Views
What smartphone are you using and why are you using it? I'll start with moi. I'm a tech enthusiast, I review smartphones and other tech products. So I use different smartphones every now and then...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Wiki chache zilizopita laptop yangu ilishindwa kufungua windows 8.1 baada ya laptop yenyewe kufanya update. Niljaribu kila njia kuifufua lakini ikashindikana. Kibaya zaidi ni kuwa laptop hiyo...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
4K TV, also known as ultra-high-definition TV (ultra HD), is the next generation of television picture quality, displaying four times the detail of HD. What's so special about 4K TV? 4K, or...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu, kuna Tv za digital zinazokuja na kingamuzi kwa ndani, msaada wa hatua za namna ya kukiunganisha kilete picha kwa maeneo haya yanayopatikana masafa ya Terrestrial..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi natumia huawei y300 naomba kusaidiwa jinsi ya ku transilate kutoka lugha za kingereza kuja kiswahili kwani kunamakala nyingi zipo ktk lugha yakingereza na mm nakosa uhuru wa kuzisoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshma yenu wakuu, nina tatzo katika simu yangu ya android nashndwa kudownload application yeyope kutoka kwenye playstore inaniambia 'could not be downloaded due to an error' Kwa yeyote ambae...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kiukweli kwa takribani wiki moja na nusu hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana tunapozungumzia kasi ya internet kwa hawa tigo, yani zamani spidi ya kudownload kawaida mchana 60 kb/s ila kwa...
0 Reactions
99 Replies
9K Views
Wakuu nina samsung s4 nili unlock kwa 7bu ilikuwa haisomi mtandao wa tz lakini baada ya hapo 3g network imekuwa ikisoma kwa shida. Nilikuwa naomba Kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia ku fix hili...
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Wadau Kwa yeyeto ambaye anajua uzi au mahali ninaweza kupata Technic za JF anijulishe. Mfano: Nataka kuupload picha kutoka kwenye mtandao na ninataka itokee kama picha sio link nifanyeje? Na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama picha zinavyojionesha hapo chini. Picha ya kwanza ndivyo hiyo blogu inavyotokea ukitaka kurekebisha sehemu ya comment ili ziweze kuonekana. Picha ya chini ndivyo inavyotakiwa ionekane na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
read this site Massive Ocean discovered towards the Earths Core! | Spirit Science
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Dear Friends and colleagues, I would like to take few minutes of your time to fill out my survey on IT & Mobile security, if you are currently holding an IT position or are familiar with IT and...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
I'm addicted to lots of sites which I don't want to name and I need to get them off the computer. but I have a PC and I use Safari. I know it's weird. Anyone help?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom