Habari wana ndugu, msaada jamani courier gani yupo fair upande wa bei (ukizingatia na muda pia wa mzigo kuwahi kufika), kuna envelope yangu nataka kuituma itoke USA to Tanzania, mwenywe...
Nime down load software ya vodacom ili niweze kuangalia tbc bure kama wanavyo dai.
Lakini haieleweki mara ina nila credit au saa zingine haichukui credit.
Kuna mtu imesha mtokea au anajua kwa...
Jaman nimetumiwa pesa toka marekan kupitia Email yangu bt wonderful enough nilipoingia tena kwenye email yangu ili nichukue details nikatoe pesa ile sms siion tena lkn sms zingine zpo.
NAOMBEEN...
Hi Folks. After writing my article Create bootable USB for Windows 7 many people ask me about how to install Windows XP via USB.So here in this article I'll show you how to make a bootable USB...
Habari zenu wana jukwaa. Kama nilivyoeleza hapo kwenye kichwa cha habari ni kwamba...
Tv yangu ni mpya aina ya LG imepata michirizi kadhaa kwenye kioo siku chache zilizopita nilikuwa sijui ndio...
Wadau...natumia dish na receiver ya media com. Naombeni msaada wa kuingiza zile namba ili picha ziweze kurudi.
I mean, Symbol rate, Frequency, Sat Name etc
Ntashukuru sana. Tafadhali
Kwa muda mrefu sasa tumekuwa na masomo mazuri yaliyosimamiwa na Calvin power na Dr phone kuhusu ku unlock modems.
Ni somo ambalo mimi nimekuwa mwanafunzi mzuri na nimegain sana tu.Leo naomba...
Ndugu wanaJF, natumia simu aina ya Sky Vega inanitesa kwa tatzo la kuniandikia Connection problem or Invalid MMI code kila ninapotaka kuangalia au kuweka salio. Nimejaribu trick ya kutumia "," na...
Jamani hivi hizi dongle za avatar ndio zimefungwa?maana naona taa nyekundu inabring kama kawaida ila haifungui chanel zote ,si dstv wala my tv.anayejua kinaendelea nini anijuze maana sijui...
Asante sana kwa Jamiiforums na wadau wake kwa ujumla.
Wadau mmekuwa chachu kwa kila nacho kifanya,maoni yenu na criticism zenu zimekuwa ngazi kwangu kufikia ubunifu...
Habar zenu jaman,pc yang inadownload vitu lakin kuviinstal ni shida
Na sauti ya pc yang iko chin san hata nikiongeza had mwisho..
Msaada wenu tafadhar jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.