Nipo natumia huduma ya Tigo postpaid, nalipia elf 60 kupata gb 80 kila mwezi (mikataba kwa wateja wapya imebadilika unapewa gb 72)
Kifurushi hiki huwa kinajiunga chenyewe kila tarehe 1 ya mwezi...
Wana jukwaa habari ya muda huu, naomba kuuliza kwenu kwanini Flash yenye ukubwa wa 64 GB au kuanzia 64 GB huwa hazisomi kwenye TV? Na je, nifanyaje ili iweze kusoma kwenye TV?
Idadi hiyo imefikiwa ikiwa ni chini ya wiki moja tangu Mtendaji Mkuu wa Meta, Mark Zuckerberg alipotangaza kuuzindua, ambapo kasi yake inaonekana kuwa tishio kwa Mtandao wa Twitter.
Wakati...
[emoji189] Meta baada ya kuachia mtandao mpya wa threads umepata watumiaji zaidi ya milioni 30 watu mbalimbali waliweza kujisajili kwenye huu mtandao.
[emoji189] Threads mtandao ambao unafanya...
Habarini wakuu..
Naomba msaada wa kujua uwezo n storage hizi computer za chromebook.
Kuna moja hapa nnayo ni ya acer na imekuja na lugha tofaut nmeshindwa kubadili lugha ila nmetafuta system...
Watu wengi wanaogopa kuingia kwenye setting za android Tv wakijua wanaweza kuhalibu mfumo mzima.
Kwenye android Tv Kuna mambo mengi unaweza fanya ambayo ulikua huyajui kabisa 😁!!
1) Change...
Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu.
Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja...
Kwa yeyote anaefahamu bei ambayo mtu anaweza kutozwa pale anapohitaji mtu amfanyie video editing ya event like Birthday, marriage, graduation etc. Lkn pia poster huwa wanalipia kiasi gani wakati...
Mkutano huu ulifanyika Geneva nchini Switzerland ambapo Roboti zilijibu maswali ya wanahabari, zikiwa zimekaa au kusimama kando ya waundaji wao. Ama watengenezaji wa Roboti hizo Walithibitisha...
Siku ya juzi AZAM TV wamepost trailer ya movie yao mpya waliotengeneza kwa takribani miaka 6. Movie hiyo kwa jinsi ilivyotengenezwa ni kama imetumia mfumo wa CGI (Computer Generated Imagery) ambao...
Wadau kwa wale wanaotumia hii App j football tv naomba kujua kama channels zinazonekana kwenye hii app zinafunguka zote maana app yenyewe ni ya malipo kidogo tsh2000 kwa mwaka isiye ikawa ndio...
Naandika hii thread nikiwa na masikitiko na machungu juu ya nchi yetu kutoruhusu kupokea pesa kwa platform maarufu duniani ya PAYPAL.
Nimekosa mchongo kibao kwenye mitandao inayolipa kwa mfumo wa...
Nimejaribu kueka baadhi ya website zilizodukuliwa ndani ya mwaka 2015 ili tuweze japo kidogo kuona security ya site zetu nchini ikoje.
JamiiForums | The Home of Great Thinkers hii ilipigwa Ddos...
Mwaka 2023, umetajwa kuwa mwaka mgumu sana kwa Wafanyakazi wa Tasnia ya Teknolojia duniani kote baada ya kugharimu tena ajira za makumi kwa maelfu ya wafanyakazi. Wakati huu, upunguzaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.