Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop...
naombeni msaada kama kichwa cha msg hii kinavyojieleza hapo juu namba yangu nikijiunga na whatsap inaniandikia you need the official account to use these.
Wandugu nahitaji kununua darubini kionambali naomba kama kuna anayejua aina zake ubora wake bei zake na mahali zinapopatikana hapa tanzania.
Na je sheria hazina tatizo juu ya umiliki wa darubini...
Wadau niaje?
Naomba kujua kwa wenye uzeofu na subwoofer, ipi ni brand nzuri, ina mdundo mzuri na inajitahidi kudumu.
Ukiweka na bei utakuwa umenisaidia sana!
Wadau wa JF nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.
Naomba ushauri wa kitaalamu na uzoefu wenu, nichukue simu ipi kati ya hizo mbili hapo juu Kwa kutazama
Performance, quality...
Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja...
Wakuu salama umu?
Kuna simu nilikuwa nayo ukipiga simu inakata mtandao mpaka umalize kuongea na mtu sasa nimebadili simu na natumia.
Voda ila nikipiga simu internet haikati isipokuwa ina...
Wakuu matumani ni wazima naomba kuuliza kati ya Samsung note 9 na redmi note 10 pro simu ipo ni nzuri nataka nichukue moja wapo kati ya hizo bei kwa sasa zinalingana
Wakuu, niwe brief ili nanyi muwe brief na hatimaye nielewe, Ni njia gani salama ambayo supplier anitumie vitu vyangu nikiwa mkoa tofauti na Dar Es Salaam?
Kuna njia nyingi suppliers...
wakuu salam
Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english.
Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua...
Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot)
File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 "...
Wale wapenzi wa games. Ikumbukwe hili game halijawahi kucrakiwa tangu mwaka 2016 litoke.
Sasa linatolewa bure hadi tar 8 mwezi wa 9. So chakufanya ni ww kudownload pc app ya uplay then jisajili...
Usichokijua kuhusu Tecno camon 20 Premier
Tecno wameamua aisee mwaka 2023 ni mapinduzi ya teknolojia tu, Leo nakuletea makala kuhusu Hii simu ya Tecno Camon 20 Premier 5G ambayo iliachiwa mwezi...
Habari wana JF, kuna habari nmekutana nayo uko instagram, kuna vijana wanawaongezea watu followers, like, views, na vitu venginevyo katika page zao za mitandao ya kijamii.
Mambo yanaenda mbio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.