Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakili wa Elon Alex Spiro ametuma barua kwa Mark Zuckerberg akitishia hatua za kisheria, akidai kuwa Meta iliajiri wafanyakazi wa zamani wa Twitter kuunda App mpya ya Thead. Hili haishangazi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi Fellas! I am a freelance 3D artist mostly working with Architecture visualization. Ningependa kuwajua watu wengine wanaofanya kazi zinazofanana na zangu... nimewatafuta sana facebook bila...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza Katika ulimwengu wa kampuni KUBWA na MAARUFU za Simu(Tuelewane hapo, usikimbilie ligi uje unitajie Doogee, Energizer au ulefone). Hatimaye leo mchana samsung ametoa ingizo...
23 Reactions
29 Replies
7K Views
Habari za muda huu ndugu zangu. Nilikuwa nahitaji motherbord ya HP Pavilion ×360-11-u005la. Au kwa anaejua utaratibu wa uagizaji wa nje naomba msaada natanguliza shukrani.
2 Reactions
3 Replies
256 Views
Habari ndugu! Natambulisha kwenu AI bot ya Telegram ambayo inaweza kushiriki kwenye mijadala mbalimbali ya groups za Telegram: Faida za bot hii: Kwa wanafunzi/wanachuo ambao wana_group za...
12 Reactions
48 Replies
3K Views
Umeshawahi kujiuliza vipi polisi wanaweza kupata taarifa ya kichaa kilichoibiwa [emoji44]. Siku izi kesi zimekua nyingi za wizi wa simu Yani zimekua kha kesi za utapeli nyingi mnoo..!! Uzi ni...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
𝗧𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗧𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗹𝗶𝗺𝗶𝘁 𝗘𝗹𝗼𝗻 𝗺𝘂𝘀𝗸 alitangaza kuwa sheria mpya ya Twitter ameweka viwango vya watu kuangalia tweets za watu kwenye huo mtandao. Ambapo alisema waliokuwa verified...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu wakuu. Ninahitaji hii program niiweke kwenye PC yangu. Kwa yeyote aliyenayo kuanzia version ya 2016 mpaka 2021 naomba aje pm. Nipo hapa dar es salaam na nitatoa angalau shukrani.
0 Reactions
1 Replies
492 Views
Mkurugenzi Mkuu wa META, Mark Zuckerberg amesema japo itachukua muda kidogo kuifikia Twitter lakini Mtandao huo uliopewa jina la 'Threads' unalenga kuhudumia zaidi ya Watu Bilioni 1. META...
5 Reactions
34 Replies
11K Views
Habari ndugu Nakuja hapa naomba mnisaidie Nilikua na Yahoo adress ambayo imeshikilia vitu vingi lakini kikubwa kikiwa ni attached credentials zangu ambazo ni vyeti vyangu na docs nyingine za...
0 Reactions
2 Replies
393 Views
Salamu kwa wana JF wote, husika na kichwa cha Habari. Nina uhitaji wa SOFTWARE ambayo inabadili sauti kuwa maneno. Hii software inatakiwa iwe ni ya ku Install kwenye Computer au Kishikwambi. Iwe...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wana Jamii Naitaji kufanyiwa Installation ya window 7 Kupitia Flash au External Maana mlango wa laptop yangu ume haribika siwezi tumia CD room kwa Installation Kama una weza nifanyia...
2 Reactions
6 Replies
646 Views
𝗞𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗲𝘁𝗮 ramsi wameachia tovuti ramsi ya mtandao wao wa 𝗧𝗵𝗿𝗲𝗮𝗱𝘀 ambapo watu watakua na uwezo wa kushare message, picha, videos , spaces , status. Unaweza kutafuta kupitia Google na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasalamu wakuu. Nitaeleza kwa picha zaidi wakuu. Nenda setting kwenye simu yako. Then ingia kwenye call setting Alaf nenda apo kwenye call fowarding Then utaingiza hizo namba(0754...
10 Reactions
197 Replies
50K Views
Huyu jamaa baada ya kusumbuana na twiter na Telegram muda mrefu naona sasa kaamua awaue kabisa, Anacopy features nyingi za telegram na kuziweka WhatsApp, anakuja na uwezo wa kutuna HD picture...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Azam TV wameondoa channel zao za azam 2 na azam HD online kwa Leo Hii nadhani n kwaajili ya mechi ya yanga na simba Ila imetunyima raha sisi tuliokosa TV Na tulio makazn
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wadau msaada kwa anaeweza kunisaidia kunirudishia acc yangu ya Instagram, nilipoteza namba sasa nikitaka kulog in wanatuma zile code kweny ile namba nilishaipotezaa. Sent from my SM-A047F using...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ningependa kufahamu ni wapi hasa nitaweza kupata spare ya Radio Sony MHC-GNZ7D, spare ninayohitaji ni part yote ya mbele ya Radio,kuanzia chini ya cd door mpaka milango ya tape cassette hapo...
0 Reactions
2 Replies
661 Views
Habari za mchana wakuu, Naomba msaada wadau jinsi ya kuifanya website yangu kuwa bookmark app yaani mtu aki add kwenye homescreen inakua kama app na mtu akifungua inakua full screen kama app...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Katika Android 13, kuna kipengele kipya kinaitwa “Clear Calling”. Kipengele hicho kinawezesha kuchuja na kuondoa kelele ambazo zinasikika kwenye calls. Mtumiaji wa Android 13 akiiwasha option...
5 Reactions
6 Replies
855 Views
Back
Top Bottom