Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba kujuzwa namna ya kumuweka MTU kwenye black list kwa simu za kawaida yaani namaanisha simu zisizo na program hzo kwani nimebarsha line za simu mpaka Sasa nimechoka plz
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu! Open source tool gani ya kudesign website ipo poa wakuu kwa anayefahamu na mwenye uzoefu nazo, nimejaribu wordpress , joomla majanga ya plugin yamekuwa yakinikera, drupal nayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina Laptop Yenye Hdd 300, Ram 2 Gb Ila Nkiweka Game Inaandika No Graphic Card Sijui.. Sasa Nifanyeje Ili Iweze Ku Play? Ni Toshiba Sattelite
0 Reactions
2 Replies
1K Views
FBI hunting ISIS Gang hackers & gamers creating Cops episodes by swatting other gamers The FBI is tracking down a group of British hackers and gamers going by the name of "ISISGang;" the gang...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Habari zenu wote, Naomba msaada kwa wale wazoefu wa drupal 7 CMS. Nime install module inaitwa i18n kwa ajili ya language translation lakini nadhani hii version inatatizo, inanipa error. Notice...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipimo gan kinachotumika kudetermine ukubwa wa screen ya kuweka ndani ?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pictures of Microsoft's next operating system, Windows 9, leaked on the internet today (September 11, 2014). It has been rumoured that Microsoft is planning to announce its next operating...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nina IPAD os 711 niliinunua kwenye mnada kulikua na vitu vingi vinapigwa mnada ila tatizo ni kwamba mwanzoni nilikua naitumia vizuri. Naona mwenye nayo alitoa taarifa kwenye kampuni ya APPLE...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi nafikiri ni sumsung galaxy s111. Naomba kujuzwa zaidi
0 Reactions
71 Replies
14K Views
habar wadau, kuna best yangu whatsapp kwenye simu yake imegoma kufunguka, ameiunstal lakin kila akiinstal upya kupitia playstore hakuna respond yoyote yan inaonesha kama inaanza kudownload ila...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa anayefahamu anisaidie nitavyoweza kupata os bora zaidi. Katika simu samsung galaxy mini GTS5570 Shukrani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za Leo wanajamvi, Nimepata tatizo la kuungua power supply wa TV yangu LG (FLatscreen) nimepeleka kwa mafundi kama 4 wote wameshindwa. Je kuna mtu anafahamu wapi naweza pata mafundi wazoefu...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Wataalam habari zenu, Kunakitu kimoja kimesababisha nije kwenu tusaidiane, nilikua nimeshika msumari na pembeni simu aina ya tecno p5 nikajaribu kuigusa na kichwa cha msumari nikashangaa sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huawei y320 inashika internet hata facebook ila haikubali kabisa whatsapp, kuna mtu kashauri nibadili os but very expensive nifanyeje wanajamii?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima yenu wataalam, nina laptop yangu inatumia window 7 ultimate, cha ajabu kuna mafile nilikuwa nafuta kwenye program files!! mala ghafla ikazimika na kuwaka, kila niki play music sauti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, ambaye hajatumia TIGO internet bundles, naomba ajaribu kutumia, pia nashawishika kukubaliana nao kuwa ni "unlimited speed". Tazama Speed ninayopata kwa kutumia mdem zao mpya.
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie jinsi ya kuset internet kwenye simu aina ya LG 4G LTE, maana nimejaribu kuweka data connection vizuri, kwenye setting nimejaribu nimeshindw. Naomba utaratibu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu naomba mnisaide ads zionekane kwa wanaotumia sim maana mapato mengi hupotea coz watu weng traffic hutumia simu. Shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bwana awe nanyi wanajamvi! Bado mpaka sasa nashindwa kuelewa maana ya vitu hivi, utakuta simu ikishatangazwa hasa kule gsmarena kwa pale pembeni vimeandikwa;- 96% popurality, 4.9 design, 4.8...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
toka jana saa 6 mchana sipati mtandao wa internet, ukija unakaa dakika 30 unapotea yani ni tabu. Nilinunua tigo shop. Msaada wa kuirekebisha pls
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom