Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natafuta key za pinacle 11. Msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Natumain ni wazima wote nina omba msaada ni website gani au application gani itakayo niwezesha kudownload muvi za seires kuptia android phone.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za jioni wadau naombeni msaada jinsi ya ku unlock simu ya huawei ya tigo ili iweze kutumia mitandao yote Natanguliza shukurani zangu za dhati. Kashindi 0754224104
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu niko Chaka, najaribu kufanya software updates katika Lumia 720 inataka ni connect na Wifi na huku niliko sipati wifi, naomba msaada wenu endapo Kuna njia mbadala. Asante.
0 Reactions
1 Replies
963 Views
wadau nataka kununua blackberry bold 8520 used kwa laki na nusu sasa tztizo battery ndo mbovu sasa msaada wako hapa unahitajika 1: battery orginal bei gan na inapatikana wapi? Afu 2: ikiwa mmpya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Za saa hizi wadau, ninahitaji kufanya port fowarding ya camera ili nikiwa remote niweze kuiona kupitia gadget. The issue ni kwamba internet nitumiayo ina Dynamic IP kwa maana ninatumia router...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie kujua maana ya credit card, jinsi ya kuipata na matumizi yake, vile vile kuna hichi kitu CVV# sijaelewa maana yake na mwisho naomba kujuzwa zip code ya Tanzania.
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Kama ilivyo desturi ya Apple kuja na vitu vyenye viwango vya juu sana, wiki chache zijazo watatoa saa mpya za apple zitakazojulikana kama iWatch Apple. Zitauzwa kwa bei ya kuanzia ya $300-400, na...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wadau naomba mnisaidie kuweza kushika internet maana nikiingia inaniletea maneno haya "your device does not currenty have any browser configuration service book entries. Please contact your...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu wana JF mimi niliamua kujichanga kuanzia mwaka jana mpaka leo nimetimiza sh 550000 sasa nahitaji kununua laptop nzuri na inayotunza moto sababu huku nilipo electricity ni shiiiida...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wanajamvi. Katika pita pita yangu nimekutana na Huawei Mate 7. Inaonekana imekaa vyema sana. Hebu itazameni hapa wadau wa huku na nyie mseme ya kwenu. Binafsi naona itaweza kucompete vizuri...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Centos 7.0: The voice of Open Source Evangelists By: Elly Rymond I have the privilege to share the firsthand experience of a Community Enterprise Operating System version 7 (Centos 7), one...
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Habari wana jamvi wenzangu. CD yangu ya printer imepotea na nimebadili operating system kutoka windows seven kwenda windows 8, naomba mwenye Driver ya printer hp laser jet 1300 anisaidie. Asante
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Habari wakuu, Naomba msaada nina motorola droid hd ni ya Verizon lakini nikiweka simcad yoyote VODACOM, TIGO AU AIRTEL na kuenable data connection nashindwa kupata internet,ila nikitumia wireless...
0 Reactions
5 Replies
981 Views
Wadau nahitaji digital temp. control switch mwenye ufahamu naweza pata wapi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada juu ya NOKIA LUMIA 530 nashindwa ku asses internt msaada jaman
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Ndugu zangu, Nina modemu ya tigo huawei e303s-1 hivyo nilikuwa naomba kwa mwenye link ya software yenye uwezo wa kuichakachua modemu hiyo atupiae link vile vile hata namna ya uchakachukuzi...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Haya wale wapenzi wa apple tufatilie live kwenye link hii Apple - Live - September 2014 Special Event
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Haya tena wale wapenzi wa teknolojia hasa gajeti, leo Samsung wamezindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note amabyo inakwenda kwa jina la Samsung Galaxy Note edge. Simu hii ina kioo...
5 Reactions
101 Replies
27K Views
Kwa yeyote anyejua njia rahisi tafadhali.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom