Naomba msaada kila ni jarib kuingia store na kudownload app ananiambia error arafu inaniambia this code can helpfull 80070490 c jui Ata hii code naiweka wap msaada.
Chonde naomba mwenye ujuzi wa kujailbreak ipad2 anigawie ujuzi maana kuna baadhi ya mifumo inashindwa kufanya Kazi ktk ipad na inasemekana ukijailbreak ni utatuzi tosha.
How to hide important files without making hidden folders.
1. Go to desktop and create a new folder.
2. Name the folder Internet Explorer.
3. Change the folder icon to Internet Explorer.
4. Keep...
Habari wakuu. Kwa yeyote anayefahamu android app ya kuedit photo inayoweza kupachika sura/kichwa kwenye kiwiliwili cha mtu mwingine (kuexchange kichwa na mwili) aitupie hapa.
Samahani wadau,
Nataka kumnunulia girlfriend wangu simu, lakin sijui nimnunulie simu gani ya smartphone inayo kaa na chaji angalau siku 2, na yenye gharama isiyozidi Tsh 125,000?
Au simu gani...
Wakuu hapa nina kisimu changu cha Galaxy ace 2-GT-I8160, Shida ipo kwenye betri na nimejaribu kununua karibia mara mbili na nimeambulia patupu!
Yaani kila nikinunua betri inakuwa mbovu na ile...
East Africa in top position in Africa for internet access and connectivity
Kenya currently leads in African connectivity with the highest bandwidth per person on the continent, the...
Ninasimu Ya Tecno H5 tatizo Langu Nimeinstall Clean Master na CM Security na Simu inakuwa Very Slow hadi Inakera He Ni Antivirus Gani Na Phone Boost Nzuri Ambayo Nikiinstall kwenye Tecno H5...
Habari wakuu,
Ninapotumia whatsapp nikifungua sehem ya chat ili kuona profile picture za contact za watu wengi system inakata na inarudi sehem ya kutuma message kwa uloanza kuchat nao...
Wakuu hebu tupeane maujuzi na maujanja mbalimbali kwa watumiaji wa iphone, ipad na ipod Apps gani unadhani ni muhimu kuwa nazo?
Tweaks gani ni muhimu na Tricks gani muhimu.
habari wakuu...baada ya kujibana kidogo nimeamua ninunue desktop computer,
naomba msaada wenu niweze kununua pc nzuri nisijeuziwa kimeo. wadau nitapata wapi desktop comptr nzuri! na aina gani...
Ni application gani kwa simu za android ambayo naweza download? ambayo naweza ku edit picha zangu ili zisiweze kuonesha kitu ambacho kipo nyuma yangu. May be mawingu yalio nyuma ya picha angu au...
Amani itawale kwa wote.
Naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa kutengenea call tone yako mwenyewe. Mfano mtu akinipigia anajibiwa simu yako imepokelewa ila utapigiwa baadae.
Natanguliza shukrani
Picha: Apple yazindua saa mpya 'iWatch' itakayokuwa na uwezo wa kumshauri mtumiaji, bei iko hapa
Kampuni ya Apple imezindua bidhaa mpya ya saa za mkononi ya kisasa ‘smart watch' inayoitwa...
WhatsApp+
WhatsApp+ is a customizable WhatsApp where you can change lots of colours, sizes, and many other visual MODs In addition you can increase upload media limit (stock limit is 16Mb) to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.