Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wengi wetu kiukweli hatupendi simu zetu zichunguzwe, unaweza kuweka pattern lock mtu akiazima simu akikuomba umfungulie ukikubali kumfungulia yaani yeye step ya kwanza ni kwenda kuchunguza sms...
10 Reactions
42 Replies
16K Views
Nahitaji msaada wa kitaalamu jinsi ya kuwezesha windows phone 7&7.5 kutumia ussd codes.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jinsi ya kubypass hizi survey zinazojitokeza kila ukitaka kudownload kwenye simu, nimejaribu kutumia ile site ya bypass survey.com lakini hakuna mafanikio.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huwa nasafirisha parcel ndogondogo kwa bei nzuri tu kutoka Ulaya na Marekani kupitia DHL au FEDEX, sasa mziki umekuja nataka kusafirisha TV yenye ukubwa wa nchi 78, bei ya nauli wanayonipa ni...
2 Reactions
78 Replies
11K Views
Nahitaji simple explanation, how this technology works.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanajamvi palipo na wengi haliharibiki jambo niljitahid kununua huawei ya joti(tigo) kwa ushawishi wa vifurudhi na nafuu ya bei lakini kutokana na sababu zisizozuilika natamani iruhusu line zote...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wadau, nahitaji kujua ni sofware gani naweza kufuta sehemu ya movie yenye adult content, sometime unawanunulia movie madogo ila kuna kipande cha kugegedana, sasa nataka kujua jins ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, nahitaji kununua printer mpya inayotumia inkjet technology, Ni aina gani nzuri ambayo inaweza kufanya kazi kubwa na itoe output yenye high quality. asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimedownload whtsup ikakubali ikaniambia verify nomber nikaandika namba inaandika awaiting network basi inaishia hapo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kati ya XBOX ONE na PS4 Ipi ni chaguo lako?? Kwanin??
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Xiaomi's One More Thing The young electronics...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau natumia samsung galaxy s3 ambayo alikua anaitumia dogo wangu ila kila nachotaka kudownload kinakataa Yani App yoyote nayotaka kudownload toka playstore inasema Could not downloaded due to an...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
APPLE has launched an iPhone replacement program after admitting some smartphones sold two years ago were issued with faulty batteries. With weak battery life one of the biggest complaints for...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Salute. Naombeni kufahamishwa maana hizo mbili zina shida kidogo. Whatsapp ni 50user ila iko safi Telegram ni 200user ila iko slow sana. Interest yangu ni media yenye uwezo wa ku accomodate...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau wa JF, Naomba msaada kutoka kwa anayejua nini inaweza ikawa sababu ya Pads za play station kutokubali kuwaka. Kwa wiki moja sasa kijana wangu ameshindwa kucheza na play station yake kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wadau, nimejaribu mara kadhaa kubadili mwaka wa kuzaliwa katika email yangu niliyoifunguakupitia gmail lakini haibadili. je huwezi kubadili mwaka au watumia njia gani ili iweze kukubali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Microsoft set to unveil Windows 9 on September 30th...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau nimeokota moderm ya zantel. Tatizo ni kwamba haina laini ya kuingiza IPO direct ,ninachoomba ni kujua jinsi ya kurecharge manake sijui namba yake Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Natafuta mtaalam wa computer, ninahitaji kuwekewa windows kwenye macbook pro pamoja na software inayoweza kuruhusu nitumia os's zote mbili. Ninaomba anipm ikiwezekana na gharama zake. Thx...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nisaidieni natumia Mozilla FireFox Setup 20.0.1 sasa kuna siku nikakuta wametangaza nyingine ya ku-upgrade ya Mozilla FireFox Setup 30.0.1 nikai-Download kila kitu kikakubali mpaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom