Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Inasachii kisha inatembea kidogo halafu inasimama tena kisha inasachi tena, mwendo ndiyo huohuo yaani inachosha mno!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nilikua naomba mnisaidie njia rahisi ya kuuza applications kwenye playstore.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tafadhali wataalamu naombeni mnisaidie kitaalamu TV yangu samsung inakakataa kuonyesha picha au inakatakata picha ninapounganisha na HDMI cable kwa kutumia kingamuzi cha digiteck lakini nikitumia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhali wataalamu naombeni mnisaidie kitaalamu tv yangu samsung inakakataa kuonyesha picha au inakatakata picha napounganisha na hdmi cable kwa kutumia kingamuzi cha digiteck lakini nikitumia Av...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa na tumia modem ya VODACOM model mpya iliyochakachuliwa ,, sasa nika uninstall kuja kuirudisha tena inakuwa ina connect kwa muda fulani tu unareceive data ila baadae inagoma kabisa hupati...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Saket Ya TV Yangu Inanizingua Kupima, Inachoma Lakini Bulb Inawaka Moja Kwa Moja Haizimi, Kitu Kingine Sijajua Hizi Zeenar Diode Huwa Zinapima Volt Ngapi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kuna jamaa yangu ana iphone 5s lakini aliletewa haina charger, tumehangaika sana kununua charging cable lakini ikifanya kazi siku mbili tatu inakuja massage cable is not compatible with this...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, leo laptop yangu imegoma ku boot baada ya kufanya update za kawaida. Inatumia OS Win 8.1. Naomba msaada kwa wataalamu. Natanguliza shukrani..
0 Reactions
6 Replies
983 Views
The Windows HTC model features new services such as personal assistant Cortana The handset maker HTC has unveiled a new smartphone that runs a Windows Phone operating system. The modified One M8...
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Msaada na TV yangu, inaonyesha chenga chenga imetumika kama miaka miwilli hivi inasemekana tatizo hili hutokeaga kwenye plasma tv's peke yake. Naomba mtu yoyote anaye elewa hii tatizo atoe...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
My simple v ray rendered images on 3Ds max 2015 system specs; -Intel Core 2 duo 2.2GHz Processor -4GB of DDR3 Memory -160GB SATA Hard Disk Drive - NVIDIA GeForce 9400 GT - windows 8.1...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwema wadau? Kuna iPhone 3gs 16gb inazingua, tangu ni update iOS haileti network. Nimepitia tutorial nyingi You Tube na kupractise. Nime jailbreak tethearing na mambo mengine yote nafanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada, Samsung note 3 inazima yenyewe. Ukiwasha, then baada ya muda mfupi inajizima. Msaada please!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau nimenunua Nokia Xl, lakini kila nikijaribu kuinstall whatsapp haikubali, mwenye uelewa anisaidie au ndo haikubali kabisa kwa simu hii aina hii ( nokia xl, dual sim), natanguliza shukrani.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Leo nimejikuta nashika simu yangu na kujiilza maswali mengi. -Ina vitu( features gani) ambazo sizijui? - Ina features gani ambazo nazijua lakini sijawai kuzitumia wala sizihitaji - Ina...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, nilikua naomba kujuzwa kama kuna tecno p3 custom rom ya jellybean and kitkat, nimejaribu ku-google but hola! thanks in advance
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najaribu kutuma email lakini cha kushangaza haziwi delivered kwa mhusika bali zinanirudia kwenye email yangu.. msaada tafadhari
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Simu yangu ya HTC windows 8 inatatizo la kukata internet maramara. Mwenye kujua zaidi naomba msaada.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikua naitumia baada ya kuizima nilipotaka kuitumia imegoma kuwaka Inawaka haimalizi mpaka mwisho na sitaki kuiformart maana kwenye desktop kuna Cv zangu na vitu muhimu nafanyaje jaman??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Natumia simu ya Alcatel S500 lkn cha ajabu nikitumia internet kwa mda wa km dk 30 au 45 mfululizo inapata moto na pia inawahi kuisha chaji. Uwezo wa battery ni 1500mAh. Je...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom