Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Simu yangu ya Nokia Lumia, imejizima ghafla kila nikiiwasha haiwaki na badala yake inanijibu ERROR: UNABLE TO FIND A BOOTABLE OPTION.PRESS ANY KEY TO SHUT DOWN Please naomba msaada kwa mwenye...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu nimeiona hii simu vodashop. Inauzwa laki 1. Mnaweza nisaidia ichambua? je! inaizidi huawei y300? na Vp kuhusu ubora wa battery?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nina flash yangu haiwezi kufanya chochote kudelte files,kuadded files even hata kuformat kwa kutumia comand lines inaniaandikia the disk is write protected,mwenye idea wakuu ya jinsi ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hellow guys ..
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Mpaka wiki hii nilikuwa sijawahi tumia Microsoft windows 8 operating system. Nimeiweka kwenye laptop yangu kwa muda wa wiki moja, ila nimeitoa na kurudi Windows 7 altimate...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Natumia tecno p3 msaada tafadhali, naomba msaada jinsi ya kuilinda smartphone yangu dhidi ya virus nime flush mara ya nne sasa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba mwenye ujuzi kuhusu jinsi ya kuweka password kwenye specific channel ya DSTV, nimejaribu lakini imefunga stesheni zote
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hivi kuna trick yeyote ya blacberry kuhusu matumizi ya internet ukiacha BIS na ile ya kubadilisha TCP?? Nawasilisha.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
1.Model number Huaweiy210-0100 2.Android version 2.3.6 3.Baseband version 109808 4.kernel version 2.6.38.6perf android@localhost#1 5.Buld number y210-0100v100R001V00B839 6.Custc c388D001 Msaada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa na uzoefu wa muda mrefu katika kuzijua Simu fake na Genuine. Ila Samsung galaxy NOTE II Gt_7108 Imentoa jasho, kila kitu unachojua kuhusiana na Original inacho Msaada kama kuna unachojua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Members JF SIMU YANGU YA SAMSUNG GALAXY TAB 7.0 IMEFUNGWA NA MTOTO WANGU ALIYEKUWA AKICHEZEA KWENYE SECURITY PATTERN. INAONEKANA KAMA ALIINGIZA GMAIL ADDRESS AMBAYO HAIKUMBUKI NA WALA HAKUMBUKI...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Simu yangu, Samsung galaxy 7.0 tab imefungwa baada ya mtoto wangu kuchezea security pattern. Anadai aliingiza gmail address ambayo haikumbuki na aina fulani ya pass word (nayo hakumbuki). Kila...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Assalam aleykum waungwana. Naomba kujua kama kutumia antvirus zaidi ya moja kwenye simu kunaweza kuleta madhara.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam Wandugu. Je kama naishi nje ya Zambia, nawezaje kununua Zambian local domain eg. zaleo.co.zm? kama sio RESIDENT kwa sasa. Natanguliza shukurani. Rakey. rakeyescarl@yahoo.ie (not.COM)
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Salamu wadau, Ninataka kununua laptop zinazotumia Google OS (Chromebooks) hapa Dar, sichagui brand kwa sasa; iwe Samsung, Asus, Toshiba au 'manufacturer' mwingine yoyote yule... cha msingi kujua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF naomba msaada kwenye USB yangu. Nifanyaje niweza kui format. kila nikijaribu inaandika "usb is protected"
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Wadau nisaidieni simu yangu aina ya tecno p5 inapoteza network nikienda kijijini.Nikiwa mjini ina access vizuri lakini kijijini haikamati kabisa.Tumejaribu kuset network system lakini wapi.Simu ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman naombeni msaada software ambayo ni free naweza kudownload kwa ajili ya kuchora ramani za nyumba
1 Reactions
9 Replies
12K Views
Habari zenu wana JF,naomba mnifahamishe kwa anayefahamu mahali ambapo naweza pata network ya "Wi-Fi" kwa hapa dar,napia utaratibu wake wakutumia ukoje?...itakuwa vizuri zaidi kama utanipa na codes...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Amani kwenu nyote. Samahani mwenye kujua antivirus bora kwa ajili ya laptop. Baadhi ya files zinafichwa na virus. Mwenyekujua anisaidie
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom