Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Poleni na kazi JF Naomba msada wenu Hii kitu kinasumbua IDM wanataka registration Lakini tatizo liko kwenye serial number Naomba msada wa hizo serial nambar Natoashukrani
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa hili pendwa? Ndugu zangu naomba kujua app ya kutafsiri majina inaitwaje na inapatikana playstore? Niliona kwenye maonyesho ya nanenane dada mmoja unataja jina kisha anasachi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Najua hapa kuna wataalam wa aina mbalimbali.. Ningependa kujua au kueleweshwa kwenye hili swala la Mars Retrograde. Nimesoma kwenye Google lakini naona kama lugha inakuwa ngumu kidogo. "Hili...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Hellow ndugu zangu, mdogo wangu kaniletea simu yake mpya hivi simu za WINDOWS PHONE nimsaidie kumuwekea whatsapp, viber etc. Sasa kila napoidownload inaniletea maandishi haya THIS APP IS NOT...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimeona topic nyingi sana zinazungumzia faida za kuroot simu, so nikaingia google na kutafuta software nzuri ya kuroot simu nikaona wengi wanaizungumzia VROOT leo nmeidownload na nikafata...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
computer yangu tangu leo imepoteza button ya back na forwad zile ambazo kukaa upande wa juu kushoto hata rangi ya computer imepotea na kuwa nyeupe, lakini ukitembeza mouse hizo button...
0 Reactions
4 Replies
843 Views
Habari wana Jamii Forum.Simu yangu ilipotea kama wiki mbiki zilizopita.Nikaiswap kurudisha line yangu iliyopotea ya Aitel.Sass nikiitumia katika masuala ya Internet katika simu inachukua muda...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Wakuu, simu yangu(Samsung galaxy S5) inatatizo la kushindwa kuconnect wireless inaandika ''avoided poor internet connection'' mwenye ufaham na hili msaada tafadhari.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nilikuwa nataka kujua kuna tofauti gani kati ya hayo mafuta hapo juu? mimi najua yote ni petrol sasa kwanini kuwe na tofauti ya majina kihivyo sifa zipi na nini huwa kinatofautisha kati...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Kila ikifika saa 6 mchana picha zinaganda au kuna kuwa na scratching nyingi. Then ikifika 12-1 jioni inarudi katika hali ya kawaida. Mwanzo nilifikiri ni kwangu tu, nikakutana na watu watatu wenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari JF. Samahani nauliza nawezaje kupata database yenye namba zote za simu za mkononi za waTanzania wote?. Nahitaji hizi namba kwa ajili ya mobile marketing tu na si vinginevyo. Nawasilisha.
0 Reactions
46 Replies
12K Views
Wakuu naombeni msaada! natumia firefox 31 na kila nikijaribu kulocate a place kwenye google map siioni ile marker ya kulocate nimeitafuta sana ila siioni na sijaelewa kwa nini siioni! kila kitu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Only what I see is please can i get so an so software? Your avator is interesting, Yesterday I ate ugali. "IT based discussion". Do you use Jf tech forum properly? :sad:
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Wakati naperuzi website zenye frequency nimekutana na website, nilipoingia kwenye satellite yenye channel za kibongo nikakuta frequency za ATN na UBC na zinginezo. Tatizo ni kwamba nikiziweka hizi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Naomba mwenye link au mwenye kujua jinsi ya kuuzipata 1. Ant-theft 2, ni ile ya kupata notification ya kutoka simu nyingine kuhusu sms anazotumiwa au mtu anayempigia mara kwa mara asanteni
0 Reactions
2 Replies
962 Views
SECURITY MASTER CIRCUIT Hii ni Design yangu nyingine(home made circuit) ambayo ni mwendelezo wa ile sakiti ya Security,safari hii nime-design ili iwe na uwezo wa kufanya kazi tofauti...
11 Reactions
60 Replies
9K Views
Wadau amani kwenu, Mimi najuwa kufanya screeshort kwa kutumia pc nimejaribu kwenye smartphone yangu galaxy grand naona chenga tu kuna kitu nataka kufanya screenshot nilete kushare hapa JF...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Simu yangu samsung i9300 (kwa mujibu wa back label & cover), sikuwahi kujua ni galaxy ngapi, but kila nikisearch online naletewa galaxy s3 (if am not mistaken) Tatizo ni kwamba imepata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Can anyone share materials management books with me. Please help me have these books as I can not find them anywhere! Thanks in advance
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Back
Top Bottom