Heshima kwenu wanajamvi!
Nilitaka ku-unlock app ya fotmob ili kuwa premier.
Nimeclick hatua za mwanzo mpaka ilipofikia ikaniomba namba zangu za credit card nikaweka.
Baada ya zoezi hilo ikaweka...
wana JamiiForums wenzangu ninashida sana na hii program. nimejaribu kuidowload sikufanikiwa, naomba msaada kutoka kwenu jinsi yakuipata. May God bless yhu all
Wataalamu wa mambo ya digital.
Masalaam kwenu sana na katika mambo haya ya digital kila siku msaada unahitajika,maana hakuna aliyezaliwa akawa anajua,lazima alipewa ufahamu.
Sasa ndugu zangu...
Habari zenu wadau,tatizo la SYSTEM ERROR E100 kutokea kwenye photocopy machine IR 1600 inasababishwa na nini na jinsi gani naweza kulisolve ,naomba kufahamishwa zaidi kwa wenye ujuzi kuhusu hili...
Check out these fun International Space Station (ISS) facts:
Enjoy a range of interesting facts about the International Space Station, how many astronauts have been to the station, how big the...
Nna ndugu yang ana iPhone5 ya dark market akiiwasha inamdai email na password, amehangaika nayo sana bila mafanikio mwenye kujua anisaidie wakuu! naamin humu kuna wataalam wa kila aina...
Wakuu salaam! Simu yangu tajwa hapo juu imekata sauti upande WA videos na music. Upande WA simu za kawaida hakuna shida. Naongeza na kupunguza sauti vema. Mwenye ujuzi anisaidie.
Karibu mwezi sasa wamekuwa wananinyima internet bundle kila ninapojiunga na yatosha. Kila nikiripoti nakutana na wale useless customer care ambao sijui hata wanafanya kazi gani maana hawana msaada...
Kwanza nimshukuru kwa kutuweka hai, ndugu zangu leo naomba tena msaada wenu. mnijuze maana halisi navitu vinavyo pelekea kutofautisha kati ya Kb na Mb nauliza haya kutokana nakitu nilicho kua...
Wakuu Salam kwenu
Kwa anae fahamu! msaada tafadhali nataka kujua jinsi ya kujua Location ya mtu ambae nina number yake bila ridhaa yake
Kwa kifupi tu nikuwa nahisi Demu wangu yupo MCHEPUKONI...
Poleni na majukumu ndugu zangu!
Natumia simu aina ya Tecno M3,nilikuwa natumia whatsap muda mrefu lakini hivi karibuni nikatakiwa ni update version niliyokuwa naitumia maana ilikuwa too old...
site hiyo hapo
Movieszhub4u | Download Movies,Games,Sotwares in Very Highly compressed Size - Download Full Movies in Highly Compressed Size,Download Games ,Free Download Movies,Free Download HD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.