Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nipo hapa napiga mzigo mmoja hv! Natumia laptop hp elitebook ya ofisi moja hv ya mshikaii wangu, mara taaa sauti ya laptop haipo! Nikicheza cd sauti haisikiki! Nikiwasha na kuzima hakuna sauti...
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Ndugu zangu kunajamaa kanambia kwamba simu kenya zinauzwa bei rahisi sana kuliko tz. Mfano hizi smart phone ndogo za sumsang anasema ni kama sh 4500 ya kenya. Is this really true? Jamaa ni mkazi...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Kutumia whatsapp kwenye simu za nokia nilizotaja hapo juu imekua ni changamoto kwa sasa, mimi binafsi natumia nokia x hvyo natoa maelekezo kusaidia wanajf leo. 1.ingia kwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hi jf members, am using tecno p3 I always do use opera min to browse but since yesterday am trying to access internet using this opera min but ending unable to connect. pls i need your help.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau wote mzigo upo wa kutosha ni kwa mtonyo ule ule wa 6000/ kwa mwezi. najua wapo ambao hatuelew kma hujaelewa ni pm au ni chek kwa 0759212578 watsup 0688148836 karbuni sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Programme gani naweza kutumia katika kuunganisha video au video editor. Kuna video nataka kuziunganisha nitumie app gani? Kifaa nacho tumia ni Kompyuta.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda nimekua na tatizo kama hili la meseji ambayo ilishatumwa hata siku mbili zilizopita inakua inaendelea kuingia hata siku tatu mfululizo mbele na si kwa simu hii hata tecno m3...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji mtaalamu wa kunitengenezea blog kwa bei nzuri. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane: richie_massive@yahoo.com
0 Reactions
19 Replies
5K Views
napenda kuwa mwalimu wa I.C.T vyuo vya ualimu au popote...ila sijui ujuzi gani unahtajika...plz?
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Wadau wa mac osx, IDM inapiga kazi kwenye mac kama kawaida, uachotakiwa kufanya ni ku-install crossover kupitia hii app utaweza ku-install baadhi ya windows apps kwenye osx yako na zika run poa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wahusika napenda kupata msaada nina kisimbusi cha QSat Q15G kimeharibika remote control. inasuasua, battery zina heat zikiwekwa muda mrefu. Je! Naweza pata ushauri wowote, nifanyeje..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kulipia decorder muda wa hewani, ila sifahamu jinsi ya kufanya, yahaani package ni bei gani,Nashukuru sana NB Natumia antenna sio ungo
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Msaada kwanini whatsapp cant support kwenye nokia x?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu. Vodacom Tanzania wana hii huduma yao inaitwa Sokoni. Inakuwezesha wewe kuuza au kumpata muuza bidhaa uitakayo kama vile simu, gari au ajira. Hii huduma ukitaka kupost tangazo ni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wadau, Nimesaidika mengi mno kupitia kwenu na sasa naombeni msaada wenu kuhusu hili. smartphone yangu aina ya tecno S9 imegoma kabisa kusoma sim card na nimeshindwa kabisa kugundua tatizo na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu nimejaribu ku google, nimesoma maelekezo ya namna ya kupata internet kwenye Laptop kwa kutumia connection iliyopo kwenye smart phone, yaaani "tethering" but sikufanikiwa. Naomba maujuzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ama kweli ndama wa maskini hazai, akizaa huzaa dume. Nilikuwa na shauku Sana anko wangu aliponijulisha kuwa ataniletea simu kali. Hamadi, siku wa siku nikaletewa HTC one m7. Kuweka laini naambiwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani mwenye ujuzi katika hayo mambo apo mawili naomba tupeane elimu jinsi gani hivi vitu vina weza kutengenezwa! Maana kuna project nataka kufanya na ivyo vitu vimo Nawasilisha kwenu waatalamu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Amani kwenu wanajamii forum naomba mwenye kujua jinsi ya kubadilisha password ya gmail anielekeze tafadhali nimeitumia muda mrefu ila sijui kuibadilisha maana napenda kubalisha kwa usalama wa...
0 Reactions
1 Replies
12K Views
wakuu..habari msaada galaxy note 2 imepoteza IMEI GHAFLA .inaandka no services hvyo siwez ku access mtandao.msaada wakuu.
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom