Ni wazi kabisa tunatofautiana matumiza ya internet kuna wale ambao ni heavy internet users hawa wana matumizi makubwa sana kiasi kwamba wengine hata kwa mwezi wanafkisha gb zaidi ya 100 ili...
Kwa mda mrefu sasa natafuta sehemu ninapoweza pata kozi fupi ya kujifunza programming kwa ajili ya kazi Fulani. Nilikwisha soma kidogo Pascal programming nikiwa chuo ila ningependa kupata ujuzi...
Nina simu anina ya sony xperia ...ambayo natumia kuangalia emails(Gmail) mara kwa mara....Lakini leo nimeamua kutumia PC ili niweze kujibu kwa kirefu email moja muhimu ambayo ilitumwa 29/06/2014...
Habari wana Jamiiforums, nahitaji kufaham ni aina gani ya computer yenye uwezo mkubwa wa ram,graphic card na gpu na specificaions nyinginezo ambayo nitaitumia kwa ajili ya video editing na 3d...
Wana JF habr zenu, mie leo nashda moja, kuna laptop ninayo ila haina partition yan nikipga window chin kila kitu kinapotea,
Ila yupo jamaa akanambia niweke partition sasa watu kama mimi BBC (Born...
Habari wadau. Naomba msaada kwa watalam wa simu,nina simu aina ya samsung galax GT-B5512, tatizo lake ni kuwa imekata internet na kila napo fanya setting za vpn inagoma kuconnect mara tu ya...
Nimepotelewa na funguo ya gari na haikuwa na copy, vipi kuna uwezekano wowote wa kutengeneza funguo bila copy ya kuangalizia?
Kama kuna mtu anao utaalamu tusaidiane au tupeane contacts kwa...
Habari wakuu,ninahitaji msaada wenu ninatumia Tab ya kichina line mbili inasumbua hasa ninapotaka kupata ama kujua salio inaniletea maandishi mengi yasio eleweka,hivyo inaniwia vigumu kupata...
ninatumia pc aina ya dell na niifungua battery kuna sehemu ya ku_insert sim card,naomba nijulishwe namna ya kutumia maana niliiweka na kuwasha pc lakini sikuona notification yoyote.....
Nahitaji kutumia WhatsApp kwenye laptop yangu lakini nimekutana na changamoto kadhaa, hivyo na naomba mawazo ya ziada
kutoka kwenu wadau.
Hatua nilizo fanya ni hizi hapa;
Nime-download...
Wana JF SIM yangu kila baada ya masaa mawili inakuwa kwny safe mode,then apps zote zinapotea kwny display..nikireset inakuwa ok but baada ya 2 hrs inarudia tatizo lilelile..no Samsung NOTE...
Habari wanaJF,
Natafuta camera yenye at least 30x optical zoom na 20mp. Iwe na rechargable battery.
Ni maduka gani kwa dar es salaam ambayo yanabei nzuri na camera nyingi ili iwe rahisi kuchagua?
wakuu leo nimeiwasha simu yangu Tecno p5 halafu nikakutana na hiyo miujiza, inaniambia ni format memory yangu wakati nina vitu vyangu vya muhimu mno!! Wakuu naombeni alternative way ya kuactivate...
Wassapp is a Low Level Studios unofficial client of WhatsApp. It works for almost all prevailing Windows OS just like the BlueStack Android emulator.
The only reason I see that you may choose...
naomba msaada simu yangu ukitumq sms mara moja zinaendelea kuingia zaid ya mara moja. nimejaribu kuristore lakin tatizo likawa lile lile. nifanyeje wadau nisaidieni please
Wakuu, nina 195,000/- na nina mpango wa kununua simu, inayokaa line moja, na ambayo haibagui aina ya simcard, na nzuri, yenye wats up, speed nzur kwenye browsing, na haisumbui. Naomba msaada...
Habari wana jamii. Hii tablet ilikuwa ina-run very smooth. Lakini sasa ina tabia si yakawaida. Nikiwa na-surf kwenye internet, ghafla inarudi home screen. Ukifungua browser, inarudi kwenye page...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.