though rate ni ndogo kwa simu zenye ubora, hii habari lengo lake ni kutoa angalizo kwa watumiaji wa michina kwani nyingi ya hizo ziko chini ya viwango
Even while the debate over whether cell...
Leo ni siku ya nne inakamata TBC1 na TV1 tu, hakuna kitu kilichobadilishwa, ni LUKU iliisha tu na tulivyoongeza na kuwasha ndo ikawa ivo. Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi niweze kuzirudisha...
Girls Galaxy S4 Smartphone Burns Under Her Pillow as She Sleepshttps://www.yahoo.com/tech/girls-galaxy-s4-smartphone-burns-under-her-pillow-as-93135039699.html
5 of Chinas coolest homegrown smartphones in 2013 (INFOGRAPHIC) September 11, 2013at 3:08 pmby Steven Millward
Share 573911250 China is an Android nation, with an estimated 300 million active...
Razer CEO Tan Min-Liang (center) at a cosplay event in the Philippines. Yes, he gets to take lots of pictures with hot chicks. Tan Min-Liang, the Singapore-born CEO and creative director of gaming...
Nimeona kwenye gazeti la citizen la leo kuwa smart card zitaanza kutumika ndani ya miaka 5 ijayo na kutakua hamna haja ya mtu kununua decorder na kwamba zitakwa na cheap kama ilivyo laini ya simu...
Mahali nilipo natumia vodacom , tatizo nililo nalo ni kupungua kwa speed ya mtandao sekunde chache baada kuconnect modem.
Nimejiunga bila kikomo ya voda, ninapokuwa nadownload na idm...
Ndugu zangu, habari za juma pili, natumia laptop Hp, sijawahi kugusa chochote kwenye system, ila imetokea ghafla nikifungua chochote chenye sauti ie video, Youtube, nyimbo na vingine vyote haitoi...
Habari ndugu natumai mtakua mmeianza siku ya leo vizuri........naombeni msaada laptop yanga dell inasumbua kuzima inawaka vizuri ila inapofika nataka kuizima haitaki na hili tatizo lina siku ya...
Wadau,
Nahitaji kutumia Nokia Lumia 520 kama portable wi-fi hotspot ili niweze kuunga internet kwenye PC kwa kutumia wireless.
Tatizo linakuja ninapotaka kuturn ON internet sharing napata message...
Source: http://lifehacker.com/computer-manufacturers-ranked-how-to-pick-a-laptop-tha-1467145338
Computer Manufacturers Ranked: How to Pick a Laptop That Won't Fail
With so many options...
Wadau mbona hizi smart phones zinamaliza charge haraka? Unanunua simu over one million Tsh ukicharge kufika saa sita majaribu. How can one improve the charging system.
Asante.
Wapendwa nimeshusha video kibao za mafunzo kutoka Youtube sasa nataka nitumie deck ya video/dvd ili niziangalia kwa uzuri kwenye TV screen,nitazibadili kwa kutumia njia gani au software gani.
Asanteni
wakuu..habar zenu.
Nipo interested na hii cynogen mod ila tatizo nashndwa ku flash hii rom iliyopo ili nianze ku install cynogen ROM.Natumia Rom manager.
Msaada wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.