Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu natafuta mtu wa kuni unlockia simu yangu ya huawei y300 kwa bei pouwaa,,
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WADAU NILIKUA NAOMBA KUJUA KAMA TECNO H5. INAFAA. KU ROOT AU KU UPGRADE. NIPO MBIONI KUNUNUA GENERAL Information B4 2G Network GSM 900 / 1800 3G Network HSDPA 2100 4G Network No SIM Dual...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wasaalam wakuu, Kuna kiduara kwenye dash board kimeandikwa herufi ABS kinawaka wakati gari inatembea, nahisi kutakuwa na tatizo. Je tatizo hilo ni lipi? Kwa kawaida kiduara hiki huwaka gari...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Wadau, Natumia window phone Nokia Lumia 720 je kuna Apps yeyote ya JF kwa ajiri ya hizi simu?? nimekuwa nikipata shida sana kuanzisha Thread mpya humu Jf kwa kutumia hizo simu, imebidi niwe natype...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natumia Tecno phantom, os 4.2. Can I upgrade it? Pls
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kuja kwa mkito ni harakati za kuondoa matumiz ya hulkshare...........au ndo kuondoa vya bure..?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JAMANI WENYE UJUZI NA proXPN WANISAIDIE NAITAJI KUNUNUA KIFURUSHI CHAO BUT SINA UHAKIKA KAMA NIKISHANUNUA INTERNET CONNECTION YAO ITAKUA NA SPEED KAMA WANAVYOSEMA GUYS KAMA KUNA MTU AMESHAWAHI...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Apple is gearing up for the launch of the iPhone 6 in September and has reportedly placed a massive order of between 70 and 80 million units — far more than any previous iPhone launch. As we’ve...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mvumbuzi wa boti isiyotumia nahodha, Emmanuel Bukuku akitoa ufafanuzi wakati wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari wana jf simu yangu tajwa hapo juu imejilock baada ya kuingiza pattern zisizo sahihi kwa kukosea kosea mara kwa mara ndo ikajilock na kila nikiiwasha inataka niingize email na password...
0 Reactions
9 Replies
980 Views
wakuu habari za majukumu mie natumia huawei Y511-T00 haiko rooted tatizo ni kwamba inabaadhi ya apps zipo kwa kichina na halafu haina preinstalled apps kama vile google+,google drive,google play...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama swali linavyojieleza nini tofauti kati ya Android na IOS au kama swali cjaliweka vizuri tofauti kati ya simu inayotumia android na ios haya maneno mawili yana maana gani na yanatofautiana kivipi
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Hii style ya kila mtu anafungua BLOG MPYA kila siku alafu anaweka content za ku-copy na ku-paste kutoka site nyingine ni common sana, Hakuna idea mpya au akili imeishia hapo? Come up with...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Wakuu kuna program zimejiInstall zenyewe kwenye PC hivyo kila nikiwasha mashine zinaniletea meseji kama nilivyoonesha kwenye screen shot vipi hili si tatizo? hizo mbili zilizojitenga MYPC BACKUP...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna laptop nimeichukua kwa jamaa nikianza kuichaji inaniandikia battery recalibratin halafu ikiendelea inaniandikia chajing betry to ful baada ya dk 10 inajaa halafu ina andika dischajing betry...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
nnajua tatizo langu kwa humu ni dogo sana naomba msaada nnatumia tecno h5
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wyoming cave with fossil secrets to be excavated...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Heshima kwenu wakuu.... kila nikijaribu kupiga picha naambiwa"unfortunately your gallery has stopped" nimeclear cache kwenye both camera and gallery applications mpaka nikaflash simu lakini bado...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu ndg. Jamani ni wiki moja na siku tano sasa zimetimu tangu simu yangu iwe inajifungua yenyewe GPS. Kila nikiiswitch off inajiswitch on , nimeshahangaika sana hivyo naombeni msaada wa...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom