mara kwa mara ninapofua nguo kwa washing machine zimekuwa zinaharibika kwa kupauka rangi kidogo kidogo
mpaka unafika wakati nguo inakuwa imepoteza uhalisia wake hata kama nguo hiyo kwa instruction...
Wiki 2 zilizopita nilichomoa flash drive toka kwenye laptop kabla sija-disconnect application, laptop ikazimika ghafla. Nilijaribu kuiwasha kama mara 5-6, ilikuwa inawaka na kuzimika baada ya...
Whatsapp imekua ni moja kati ya teknolojia inayotuunganisha marafiki. Wengi wetu tumenufaika na huduma zake mbalimbali ikiwamo GROUP CHAT.
Hapo nyuma kidogo niliwahi kuanzisha group la marafiki...
Niaje ma boss,
naomba msaada jins gani nitaweza ku unlock mordem mpya za zantel Huawei E303 zenye IMEI:861862006683149.
Ikiwezekana kama unashindwa kuni fahamisha unaweza japo kunidip throug...
Hii simu yangu ina tatizo la kupokea sms. Mtu anaweza kunitumia sms ikaonyesha delivery report lakini kwangu isiwe imefika kwa wakati huo,ikafika baada ya siku 1 au 2 hata 3.
Hasa sms za...
Wana JF nina CCTV ambazo zinatakiwa kuunganishwa kwenye internet ili nikiwa kwenye misele mingine niwe naona nini kinaendelea dukani. Kwa faida ya wana JF wengine waweza unaweza weka details zako...
News
Trojan virus secretly uses Tor network to hide bitcoin extortionist
July 27, 2014 10:44
AFP Photo / Hoang Dinh Nam
An unusual ransomware Trojan, discovered by cybersecurity experts last...
Wadau wa IT niliroot simu yangu nikafanikiewa. Nikataka kubadili font, kwa kutumia font installer waliniambia ni backup nika ignore. Ilipo maliza wajaniambia ni boot ili effect ionekane...
tecno F7 inaniandikia "storage space running out" "some system functions may not work"....wadau hii inapelekea hata emails kutoingia wala kutoka. nimejitahid kufuta sana contents nyingi sana...
Nimenunua simu ya iPhone s5 Switzerland. Nashindwa ku install free app kwa sababu sina account kwa ajili ya billing ie manunuzi ya app nikihitaji.
Nimetengeneza Apple account na nimei activate...
Nataka kufanya setting za mobile hotsport inaniambia unfortunately setting has stopped hata nikireset bado ipo hivyo hivyo.
pia nikita kuweka hotsport inaniambia verizon lte card undetected...
Samahani!
Tafadhali naomba kusaidiwa namna ya ku activate account yangu ya Apple.
Nina iPhone S5 nimenunua Switzerland last wk. Nimetengeneza account ya Apple kwa ajili ya iTunes na Apple store...
Ndugu zanguni naombeni maelekezo,uwezo na sifa za HTC wildfire (kama nimelikosea jina utanirekebisha) maana inakataa kudownload application zaidi ya tatu pia tango inakataa kufanya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.