Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natumia Android phone, kuna app yeyote naweza kutumia ku-recover data zilizo ndani ya SD? nipo mbali na Computer tafadhari.
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Soma maelezo kwenye hiyo document usipoelewa uliza
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau kwa mwenye link au file za STOCK ROM za Tecno P3,L3,P5 tafadhali msaada. pia simu zingine za kichina
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mobile Hack Tricks Call Forging: To call someone from their own number or any number. 1. Go to http://www.mobivox.com and register there for free account. 2. During...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanabodi Naomba njia ya kufanya Ram yangu iwe na space nzuri maana naona kama nafasi ni ndogo kama inavyoonekana picha. Je tatizo hili halifanyi simu kuwa nzito? Ahsante.
0 Reactions
3 Replies
901 Views
The Asian common toad may have hopped a ride in a shipping container to get to Madagascar Cane toad cull held in Australia Sausage solution to toad invasion Tourism hope for threatened lemurs...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Kama una ujuzi huo, tupia hapa mifano ya tovuti ulizowahi kutengeneza, atayevutia kwa kazi zake nzuri atapata mkataba wa kujenga tovuti hiyo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana kipindi nafungua email yangu, kuna msg nilidelete bila kujua,jamani naombeni msaada kama inawezekana kurecover msg
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Wana JF naomba kwa anayefahamu namna ya kubadili cheti ambayo nimeiscan kwenye Computer kuwa pdf document na kupunguza size kuwa chini ya 2.016MB. Kwani kuna mwanangu namwombea nafasi ya mafunzo...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu heshima mbele naombeni msaada wenu kuna mtu ameingilia account yangu facebook na ameanza kunichafua kwa kupost vitu vya kitapeli amebadilisha na password yangu hivyo siwezi kuingia tena, vp...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Jamani kwa yeyote anaejua how to install SunSystem in client PC anijuze tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa wale wote wafanya biashara wadogo na wakubwa. wanafunzi kutoka THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR (SUZA) wamo katika hatua ya mwisho kutengeneza app ya simu za android kuwarahishia wafanya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF Ningependa kufaham namna ya kununua software online,msaada tafafadhali kwa wanaofaham.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Apple kuinunua Beats Kampuni kubwa ya teknolojia Apple imethibitisha kwamba itanunua vipokea sauti na huduma ya kusikiliza muziki kupitia kwenye mtandao wa inteneti kutoka kampuni ya Beats...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani wana fta wenzangu,kwa hili msaaada wenu tafadhali,nataka ninunue offset dish ya EUROSTAR 120cm kwa 135cm na BLACK ULTRA high gain ku band 0.2 dbw HD DVB-S2 mpeg 4,kwa ajili ya kupata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jinsi ya kuifunga simu kwenye laptop, computers kama security endapo simu itaibiwa.techino L3
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Jaman ningependa kufaham ni mtandao upi wa simu ambayo internet yake iko fasta
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hallo Wajameni. Kama kuna Mtu alinunua hiyo router hapo Juu kutoka Smile na Akaamua kuitupa Darini. Naomba kumpatia taarifa kuwa, kama bado iko kwenye Hali Nzuri, nnaihitaji hiyo Router kwa...
0 Reactions
1 Replies
870 Views
waungwana kuna system naiweka sawa lakini nimefeli jinsi ya kupata hii library com.cubepro.util.SendMessage nataka kuitumia kufanya Automatic port Detaction msaada tafadhali au hata kama unajua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naomba nijue kuhusu hawa voda, je ukitumia mpaka gb ngapi ndipo speed inapungua? Jumapili nilijiunga na kifiruahi cha wiki, nikatunia siku moja tu speep ikaanza kuwa ya kobe...leo nimeunga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom