habari wakuu nmeomba adsense wiki sasa cha kushangaza hamna matangazo yeyote hata kivuli zaidi ya kunipa hii message
Your AdSense for content application is still under review. You will only see...
Kama title inavyosema, ukiwa mdau wa ebay naomba utii notice hii na kubadili password
Hii ni habari ya siku kama 4 zilizopita
Best of LUCK
Source:eBay hacked: 230 million told to change...
wakuu nimetafuta thread nying ambazo naweza nika tatua tatizo langu lakini nimekosa
nime flash modem ya tigo ambayo ni e153-u1 lakini iko very slow kwa mitandao mingine,
na tigo pia naombeni...
naomba kufahamishwa kuhusu laini zinazotumika kwa simu zetu hizi je ni card kubwa au micro soft (micr card) . hivo nilivoandika ndio nilivyoulizwa unaweza kurekebisha kama imekosewa. Nina ndugu...
Natumia sim ya huawei G 510 lakin nashindwa kudownload application yeyote kwenye Play store mfano facebook,watsup,Nk ikiianza kudownload inasearch then inakata inaleta ujumbe huu
"Could not be...
A new version of WinSnap has been released today. It adds the Highlight tool and contains several other minor tweaks, enhancements and performance optimizations.
Now you can easily...
Muziki unahitaji ubunifu wa hali ya juu ili kuwavutia wasilikilizaji wako.Softwares nyingi za Audio production huwa zinakuja na built in plugins ambazo hufanya kazi mbalimbali km kukupa selection...
Wadau,
Nilifanya purchase online ya tablet miezi miwili iliyopita lakini item haijafika mpaka leo.... Nilifungua case ikawa closed na paypal ila nikam contact seller akawa amekubali kuni refund...
Waungwana,wana matelephone mi natafuta simu aina ya nokia lumia 1520 au samsung galaxy grand au hata tecno phantom nahiitaji, ila hasa hasa mwenye nokia lumia 1520 atatisha kinoma!mwenye nayo...
Heshima kwenu wadau, naomba mwenye maujuzi anisaidie kuinstall gemu ya mpira(pes) kwenye pc maana nimeinstall lakini nikirun inaniambia niinsert disc. Plz help wadau
ni huduma nzuri na yenye gharama nafuu sana sana,kiasi kwamba unaweza kusema ni bure kutokana na gharama ndogo inayotumika ukilinganisha na gharama halisi kwa kutumia mitandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.