Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wandugu naombeni msaada wa kujua jinsi ya kuactivate 3G internet kwenye sim yangu mpya ya Samsung S4.nikiwa ofisini ndio naweza kuaccess internet maana hapa ofisini kwetu kuna wireless...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
ADIDAS YATOA MPIRA WENYE SENSA (SMART BALL) By Mwandishi Wetu 23:30 Kampuni ya adidas wametoa mpra wa miguu ambao una uwezo wa kutoa takwimu za mchezaji na kupeleka kwenye gajaeti za iOS...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wakuu! ninahitaji msaada wa ku update aidha firmware ya tablet yangu au android kutoka 3.2 ya sasa hadi 4 hivi ili niweze ku install whatsapp na niweze pia kupata access ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ya leo Wakuu! Siwezi kuaccess contacts kwenye simu wala kupiga. nimefanya factory reset ila bado tatizo liko palepale. ukifungua contacts au call log inaandika "The application contact...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanajamvi nna shida sana na hiyo app yaitwa PdF au adobe lakini kila niitafutapo naambiwa nilipie, hiv hakuna njia nyingine ya kuipata pasi na kulipia kibaya zaidi wataka nilipie kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu ninashida ya templets ya excel ambayo ukiingiza matokeo ya mtihani inapanga grade na division bt iwe inagrade kwa mfumo wa sasa {Daraja A,B,C,D,na E}
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau habari zenu, Nina tatizo nikimtumia mtu mail kutumia accnt yangu ya gmail nikiwa nime-attach document inakuwa ina-fail kupokelewa. Mfano kama ninamtumia mtu ambaye yupo orgnztn fulani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nahisi mko POA Kwa wale wenye uzoefu nahitaji kujua ubora wa magari used imported toka JAPAN versus DUBAI kwa magari ya aina zote. Ni zipi zenye ubora na maisha marefu, kustahimili njia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
FACEBOOK KUTUMIA NDEGE ZISIZO NA RUBANI NA SETELLITE KUSAMBAZA INTERNET Theluthi ya idadi ya watu wote duniani haina access na Internet. Facebook tayari ina zaidi ya watumiaji bilioni 1, lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
project ara ni kazi mpya ya google ambayo lengo lake ni kutengeneza simu ambayo itakua inaundwa na vipande vipande vya hardware mpaka inakamilika. project hii ilianzishwa na motorola lakini google...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimesikia kuna simu mpya kabisa zmetoka muundo mwingine znaitwa HOLOGRAPHIC PHONE hebu anaejua anifahamishe zaidi
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Wadau nijuzeni ni vipi naweza ku-upgrade os ya simu kwenda version ya juu kdogo. Nijuzeni kama kuna softwares zinazotumika, link nnapoweza kuipata na madhara yanayoweza kujtokeza kwa process...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu nina laptop yangu nifanyeje iliniweze kuitrace iliitakapoibiwa nijue ipo mahali gani ntashukuru sana kama mkinisaidia
0 Reactions
15 Replies
2K Views
RUFUS CUFF: HII NDIO SAA TUNAYOITAKA? By Mwandishi Wetu 09:21 0 comments gajeti, Mwanzo, Saa Smartwatch na gajeti nyingine za kuvaa mkononi ziko katika njia panda huku kampuni mbali...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Wanajamvi speed ninayopata musoma mjini kwenye tecno n3 yangu ni noma nashusha movie kupitia torrent app ya Mb256 kwa dakika 10 yaan nahisi miujiza lakin nilipokuwa arusha Mb 256 nashusha kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninatafuta, mafundi wanaofanya repair ya Electronics Arusha mjini. Tafadhali ninaomba namba zao za simu. ninahitaji hawa ambaye ana ofisi yake arusha mjini. Asanteni wadau
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wana jf ningependa kujua faida na hasara ya simu tajwa hapo juu katika ipengele tofauti tofauti mfano uimara, nk
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu naona leo nimekuwa mshamba, hivi unawezaje kulink cpu moja kwa desktop mbili? Kama hivi Najua wako waliosomea haya mambo, ila kuwa mtu layman yani yule ambae anajua basics tu anafanyeje...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf. Naomba kuuliza ukiwa unatumia simu huku ukiwa unaicharge kuna madhara yoyote kwa binadamu. Nitashukuru kwa mawazo yenu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada jaman modem yng ya vodacom (hilink) inasumbua yan mtandao wake 3G lkn ukifungua hata jamiiforum yan kufunguka inakataaa kabisa bd cjajua tatizo n nn !!!! MSAADA JAMAN C ENJOY INTERNET KABISA
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Back
Top Bottom