Nataka kununua Simu ndogo Simple, Nimeitumia Hii 3310 New Model nakuikubali sana tangu 2017, sasa naona muda imechakaa nataka simple nyingne Feture Phone. Je kuna toleo jengne kali kupta hii au...
Habar wakuu, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Nimekuwa muumini mkubwa sana wa whatsapp plus kwasasa nina week tsup yangu ime expire inadai version mpya sasa kila niki download...
Wakuu Naombeni Msaada kwa anejua nawezaje kuapata Microsoft Flight Simulator Games. Au kama kuna mdau anazo/anayo. Nimeziona za Ku downloads na Hard copy(cd) Bei ni Balaa. Tafadhali wadau.
Nimekwama sana mwanajamvi mwenzenu, nashida ya DIGITAL CAMERA kwa matumizi ya picha sio video. Je, ni aina ipi ya camera mzuri kwa matumizi za bei kati ya 100,000 mpaka 600,000?
Pia kama nanunua...
Mwenye maujanja jamani ya kuweka password kwenye sms bila kutumia applock yeyote ile anijuze.
Nimeandika sababu kuna mtu akishika tu cm yangu huwa anapenda sana kusoma sms zangu.
Cha ajabu...
Live voicemail ni feature mpya kwenye iOS ya 17 ni kipengele cha ujumbe wa sauti unaotokea kwenye simu yako wakati mtu amekupigia simu.
Ni feature ambayo inaitwa live voicemail itayoweza...
𝗦𝗶𝗼 𝗹𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘁𝗲𝗻𝗮 𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗻𝗷𝗶𝗮 𝗵𝗶𝗶[emoji116]
Moja kati ya kitu cha kuvutia kwenye window 11 ni update mpya ya kuweza kutumia program za kwenye simu kwenye kompyuta yako kupitia mfumo wa...
leo nimeingia Play Store kuitafuta UC browser kwasababu inasevu data sana, cha ajabu sijaiona. nafikiri imeondolewa Play Store.
Nikiwa Play Store nascroll down, nikakutana na browser ngeni yenye...
Wakati wa big Honor event katika kituo chake cha utafiti huko Shenzhen, CEO wa kampuni hiyo amesema ana mpango wa kuanzisha ushindani dhidi ya iOS ya Apple. Amesema kuwa expenses zilizotumika...
Tatizo la kutuma picha zisizo na ubora mwisho sasa kwenye Whatsapp
Moja kati ya changamoto ilikuwepo kwenye Whatsapp kwa watu wengi ni kutuma au kutumiwa picha ambazo zimepungua ubora kwenye...
Fahamu kuhusu Audio message kwenye simu yako
Sio kila wakati / nyakati unataka kusikiliza voice message kwenye simu yako ya iphone. Tuchukulie uko sehemu yenye watu wengi alafu Ujachukua...
Tafadhali shufu somo hapo juu,
Niko na magrup ya whatsap mengi ya kazin na kijamii.
Kwa sasa niko nje ya kazi nataka kuya-Cease yote ya kazin kwa kipind hiki cha miez 3 ntakachokua nje ya kazi...
𝗡𝗮𝗺𝗲-𝗱𝗿𝗼𝗽 𝗳𝗲𝗮𝘁𝘂𝗿𝗲 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗶𝗼𝘀 𝟭𝟳
Sio lazima kila mara utaje namba yako ya simu kwa mtu ? Unaweza share namba yako ya simu na simu nyingine kwa kugusanisha tu kwenye iphone.
Apple...
iOS 17 inatoka septemba
Apple imesema mfumo mpya wa iOS ya 17 utaanza Ramsi kupatikana kuanzia mwezi septemba kwa watumiaji wake wote.
Kuna baadhi ya simu hazitaweza kupokea tena mfumo wa iOS ya...
Kwenye simu nyingi za Infinix Kuna feature inaitwa 𝗠𝗲𝗺𝗳𝘂𝘀𝗶𝗼𝗻 umeshawahi kutumia? Je unaijua inafanya Kazi gani ? Leo nitakujuza
Kama 𝗨𝗻𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗜𝗻𝗳𝗶𝗻𝗶𝘅 Kuna feature inaitwa Memfusion kazi yake ni...
Umechoka tabia ya kuchaji simu mara tatu kwa siku ? Unajua akuna anayependa kumiliki simu ambayo aikai na chaji.
ni muhimu kuokoa maisha ya betri kuondokana na mambo ambayo yanaweza kuleta athari...
Habari wakuu wa tech.
Nina game la mpira PES 2017 kwenye kompyuta yangu nikiwa na patch ya 2023. Juzi nimepiga Windows mpya game ikagoma kuplay ikihitaji baadhi ya files, hivyo anikaamua...
At Nokia World in Abu Dhabi, Nokia has unveiled the Lumia 1520 phablet and Lumia 2520 tablet.
The Lumia 1520 is a hilariously oversized 6-inch Windows Phone 8 phablet with a sexy 1080p display...
Kidogo kidogo tunanyata kwenye mambo ya Teknolojia, lakini hata pole pole ni mwendo.
Najua hapa kwetu Tanzania kwenye suala zima la Teknolojia bado tupo nyuma lakini bado wapo wadau wanaopambana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.