Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
IOS 17 ita support kuanzia iPhone SE (second gen) Xr Xs Xs max Na kupanda juu. Kwa maana hii iPhone X imestaafishwa rasmi usiku huu
1 Reactions
0 Replies
568 Views
Wakuu msaada wa kuondoa tatizo la maandishi kuwa makubwa upande wa sms nashidwa jinsi ya kuyapunguza, nimeenda kule kwenye settings ipo small sawa sawa , ila shida ni kwenye upande wa sms tu
0 Reactions
6 Replies
608 Views
WanaJF naombeni mnisaidie jinsi ya kublock no ya simu kama sitaki anipate hewani angali no zingine zinanipata
0 Reactions
38 Replies
24K Views
Habari zenu wakuu mbalimbali [emoji23][emoji23] Anyway niende moja kwa moja kwenye mada husika,jana niliupdate windows systems ya pc yangu!ni windows 10…cha ajabu imekuwa nzito kuitumia hadi...
2 Reactions
10 Replies
780 Views
Watumiaji wa Whatsapp watakuwa na uwezo wa kuediti ujumbe walioutuma kwa watu baada ya kukosea. Labda umetuma ujumbe kwa mtu lakini umekosea kwa bahati mbaya kuandika ulichokusudia basi utakiwi...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗿𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗦𝗰𝗿𝗲𝗲𝗻 𝘀𝗵𝗮𝗿𝗶𝗻𝗴 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗮𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱 Miaka ya nyuma baada ya Meta kuinunua Whatsapp walisema lengo Leo ni kuitaka Whatsapp kuwa na feature nyingi Zaidi za kupendekeza na...
5 Reactions
5 Replies
892 Views
Habari wadau wa JF! Naomba kuuliza kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya hili. Hivi tukifuta PICHA kwenye Simu huwa zinakwenda wapi? Kuna PRIVACY kweli kwenye vifaa hivi? Msaada kwa anajua
11 Reactions
111 Replies
10K Views
Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa mtumiaji wa samsung kwa muda mrefu lakini miaka miwili iliyopita niliiweka pembeni simu yangu ya zamani Samsung s20+5g sikuitumia kabisa baada ya kujiunga kwenye simu za ulimwengu...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Niaje Maumivu yameisha ila simu haikuwahi kunisumbua kwa chochote bado iko good kwa kila idara sanasana upande wa camera sema kuna ngosha mmoja katokea kaielewa anataka kunipa 400k hapo...
2 Reactions
15 Replies
972 Views
Aina - Boeing 767-300F Uzito wa Mzigo - Tani 52.7 (Futi 15,469) Kasi (Speed) - Kilomita 850/900 kwa Saa Ujazo wa Mafuta - Lita 90,770 (Inatumia Dakika 28 hadi kujaza matenki yote) Uzito wa Jumla...
1 Reactions
4 Replies
940 Views
Nataka kujua utofauti wa simu spark 8c kwa sababu nipo na rafiki yangu wote tuna miliki simu, aina moja spqck 8c kila mtu laini yake ina support 4g sasa ya kwangu ina kamata 4g ya kwake haikamati...
0 Reactions
3 Replies
690 Views
Nimeambatanisha na picha kwa upande wa ndani wa desktop
1 Reactions
13 Replies
835 Views
Habari wakuu! Ninafanya biashara za kuchaji simu, lakini bahati mbaya sijabahatika kupata charger nzuri zinazovumilia na kuchaji haraka (heavy duty). Naombeni ushauri ninunue charger brand ipi...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Weekend iliyopita nilisafiri kwenda Bagamoyo tulikuwa na event ya kikazi kule. Basi wakati michezo beach dada mmoja wakishua akaniachia simu yake nimshikie akaogelee ilikuwa ni iPhone 13 maarufu...
17 Reactions
417 Replies
27K Views
Nina iphone X kwa kawaida huwa nachaji dk 30 simu inakua 80% Bahati mbaya nimepoteza cable yake nimebaki na charger tu. Nimepita kariakoo nikanunua cable kwa sh 5k. Cha ajabu sasa hiyo cable...
2 Reactions
11 Replies
651 Views
Simu yangu ni Tecno Pop 1 na huwa natumia Voda ina kasi sana but juzi kati nilivyotoa betri tu na kurudisha simu imeshuka signal ikipanda sana ni 2+ na imekuwa slow kwa internet na kuna muda...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Wakuu ninaishi mbali na network tower.sipati signal nzuri katka simu yangu. Haswa za internet. Naomba mwenye ujuzi anisaidie Nini cha kufanya..ili nikiwa nyumban niweze kutumia internet
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WANAJAMVI ASSALAMUALAIKUM Kwa ufupi mimi ni raia mwema ambae napenda kujifunza kila kitu lakini pia ni mtu wa simu janja na huku bush wananiaminia kwamba siwezi shindwa. Sasa leo nimeletewa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahisi simu yangu imedukuliwa nifanyeje ili kujiondoa? Msaada tafadhali.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom