Natanguliza shukrani kwenu wakubwa ,pc yangu kila nikisave documents kwa Microsoft word or PDF baada ya muda fulani huwa 0kb yaani sawa na hamna documents tena.naomba kusaidiwa shida ni nini? Na...
Wakuu simu yangu ya Redmi 10C "inastack" sana, Shida inaweza kuwa nini?
Simu hii nimeinunua mwezi wa saba mwaka jana , hata haijamaliza mwaka.
Matumizi yangu ni ya kawaida sana, wala huwa...
𝟮𝟬𝟮𝟳 𝗸𝘂𝘁𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗻𝗮 𝗴𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗮𝗮
Sio Hadithi tena kampuni ya Dutch Aviation kutoka uholanzi wameweka wino ya makubaliano na airport ya Twente kuweza kuweka safari za Anga fup fupi zisizo tumia hewa...
Ndg wadau ninaomba kuoata uelewa wa Hii technology ya Wall screen maana kuna sehemu nataka kuitumia..
Ninaomba msaada wenu kujua mambo yafuatayo:
1. Upatikanaji wake
2. Gharama yake
3...
Nilikuwa na account yangu ya Facebook nimeiunganisha na page yangu, kuna kupindi nikapoteza device niliyokuwa natumia hivyo nikasahau password yangu na hata namba niliyofungulia kwa usajiti wa...
Wandugu,
Tafadhali kama kuna mwanajamvi yoyote ambaye anafahamu jinsi ya kununua vitu online naomba maelekezo. Asante!
Mambo niaje wakuu, Natumaini wote mko pouwa kabisa, mi naomba msaada wenu...
Je una wasiwasi kuwa Kuna mtu anaweza kufuatilia kwenye Whatsapp yako bila wewe kujua ? Unahitaji kuongeza usalama zaidi kwenye Whatsapp yako.
Kuna feature inaitwa two step verification kwenye...
Katika ubunifu ambao umefanikiwa sana Afrika ni mobile money hasa ikizaliwa kutoka Safaricom Mpesa. Ubunifu huu tofauti na ubunifu uliozoeleka kuanzia ulaya ukaletwa Afrika, huu ulitengenezwa...
Nahitaji kujifunza kuhusu mambo ya video editing, na nataman nipate mtu au watu ambao watakuwa kama waalimu wangu katika kunisimamia ili kufanikisha lengo langu. Aksanteni
Habari wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada.
Yeyote mwenye kujua applock nzuri kwa ajili ya ku lock files naomba anijuze ili na mimi niweze kuitumia kwenye simu yangu.
Nimejaribu smart lock &...
Habari wakuu kama kuna yule mwenye anajua streaming software anitajia nikaitafute maana nimehangaika sana mpka nimechoka.
Mwisho wa siku nikakumbuka huku jamiiforums. Msaada wenu please kama...
Waungwana msaada.
Laptop aina ya HP elitebook.
Gafla imegoma kufanya kazi upande wa mouse,katikati,left na right button pia.
Lakini zile altenative keys na mouse zinakubali kufanya kazi.
Kwenye...
Habari wakuu.
Msaada kwa anayeelewa, ninunue PC gani, na yenye uwezo gani mzuri kwa budget yangu ya laki7? Mimi si mtaamu wa aina za PC na uwezo wake nisaidieni nisije kuingizwa chaka.
natafuta...
Wadau, poleni na majukumu nilikuwa naomba mwenye uelewa wa kuunganisha smart tv na simu yaani kufanya mirror cast siku yangu ni Samsung A12, na tv ni hisense A4 series smart tv.
Karibuni
Hbari za mda hu wana JF wote.
Uzi huu unausu mambo ya simu, jinsi gani ya kuroot simu za android 6 nakuendelea kwa komputer au bila computer brand zote. Naomba mwenye kujua program inayo tumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.