Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wakuu, naomba kama kuna mdau ana hiyo software plz aniwekee hapa na kama yupo anayejua jinsi ya kuipata naomba anisaidie maana nimegoogle sana ila kwenye downloading ndio kuna fujo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa keys tajwa hapo juu.. shukrani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomben msaada wenu wakuu kwani simu yangu imegoma kufungua apps zote znazohusiana na internet ikiwa ni pamoja na internet yenyew...nikijarib kufungua inaniandikia No Network Connection,msaada...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
kwa yeyote anayeweza kunisaidia link ya kudownload series inayotwa strike back anisaidie
0 Reactions
2 Replies
540 Views
Hii cm kila mara inadisplay ujumbe huu UNFORTUNATELY MUSIC HAS STOPPED ikisha display hivyo inakuwa haiwezi kufanya chochote hadi niizime kisha niiwashe. nisaidien
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu naombeni mnijuze nahitaji kuanza maswala ya video production ni camera gani nzuri wakuu na vifaa vingine ushauri wowote nitashukuru
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Wadau, Ninahitaji msaada na uzoefu wenu. Nina LG TV flat 32 inches niliinunua 2012, Nimeitumia kwa muda mrefu bila matatizo. Ila kwa sasa ina kawaida ya kutowaka kwa wakati, yaani nina switch...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
habari za asubuhi.Wapendwa nataka kuchukua bb torch 9800 na nimeangalia gsm arena nimeona ina os ya 6,hii os imenishtua ya kwamba huenda ikagoma kupokea baadhi ya applications za bb app...
0 Reactions
4 Replies
991 Views
NASA May Put Greenhouse on Mars in 2021 Plant life may touch down on Mars in 2021. Related Stories Curiosity Rover Weighs Drilling into Mars Rock for Samples? (Photos) SPACE.com Mars Rover...
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Ingiza code hii *#0*# kisha piga. Utapata menyu ifuatayo:- Bonyeza tab ya red na screen yako itabadilika rangi na kuwa nyekundu. ukibonyeza tab ya green screen yako itabadilika kuwa kijani vile...
8 Reactions
60 Replies
21K Views
Wadau, Ningependa kuwashirikisha application mpya ya kwa ajili ya simu zote za android inayoitwa SHAREit ambayo ni maalum kwa ajili ya kuhamisha files za aina yoyote kama vile picha, video, apps...
2 Reactions
25 Replies
43K Views
Habari wakuu kuna laptop Toshiba satellite c50-A634 nimeltewa ikiwa na widows 8.1 nikawa nahitaji kubadilisha nitumie widow 7 haiboot nimejaribu kubadili setting kwenye bios bado inagoma ila...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Ninatumia samsung galaxy S4 SGH 1337 ni 4G ya AT & T ilikuwa inatumika nje, baada ya kuifungua network , network sio nzuri nifanyeje?
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Wadau natafuta display ya hiyo laptop hapo, yangu imekufa so nataka kureplace. Inapatikana wapi na kwa shilingi ngapi? hata kama ni used ili mradi inafanya kazi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua kati 3G naH+ ipi ina kasi zaidi maana simu yangu huwa inabadilisha kati ya hizi mbili
0 Reactions
2 Replies
686 Views
Computer yangu nikifungua lid(computer lid) inazima ila nikifungua kwa angle ndongo 25° ina loadfile complete TATIZO NINI HAPO WADAU
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Beware for Zeus (The man in the browser)..can trick you guys!!!if you are doing online transactions..!!!!its a software that can disguise in your web browser to make you think your doing...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
wakuu hapa ninapoishi simu yangu inasoma WiFi network available, japo huko nyuma sijawahi kuona kitu kama hiki. Naomba mnisaidie jinsi ya kuunga hii kitu,msisahau kunielekeza faida na hasara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wandugu please naomba kwa mwenye ufahamu wa kukokotoa toka TRA calcutator, Agent wa magari ama yeyote aliyepata kuagiza gari aina ya Toyota Raum (2005), c.c. 1490 CIF $3100. ainisaidie kunipa...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
wakuu wa jf msaada nahitaji nahitaji activation ya windows 8.1 au japo crack shukurani kwa wote
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom